Museveni asafiri kwa economy class akirudi nyumbani kutoka US

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,855
8,253
Raisi Museveni alisafiri kurudi nyumbanii kwenye daraja la walalahoi aliposafiri na ndege ya British Airways alitaka kujua kama kuna shida yoyote ambayo inawafanya maafisa wa serikali wasipende kusafiri katika daraja la Economy ambalo akina yakhe ndio husafiria ,hizo zilikuwa ni salamu kwa maafisa wake kuwa siku za kupanda ndege daraja la kwanza ndo byebye sijui hapa bongo hilo linawezakana kwa maafisa waliozoea utukufu wa kujifanya tofauti kama watapanda hilo daraja la akina yakhe wanapoenda kutafuta wawekezaji ili kutuletea maisha bora!
 
Back
Top Bottom