Museven hii kiboko

Halafu tunalalamika umaskini, huyo mlinzi wakati huo angekuwa anafanya shughuli nyingine ya ujenzi wa nchi badala ya kubeba mwavuli wakati hakuna mvua wala jua, na jamaa yuko chini ya kivuli cha mti.

Kuna dogo wengi wamekimbilia mijini hawataki kulima/kujenga nchi sembuse huyu mlinzi mmoja wa Rais?
 
sioni cha ajabu. nyie mnafikiri kuna mambo mangapi ambayo marais wetu wanafanyiwa? huo mwamvuli unaweza kuwa kwa sababu kuna viota vya ndege kwenye mti huo, au la ni kama nembo flani. Nyie mnalalamikia mwamvuli wa Museveni, Mwenge wenu unakula mafuta mangapi ambayo yangeweza kuwasha vibatali kwenye nyumba za masikini?
kalaghabaho
 
Back
Top Bottom