Musalia Mudavadi ajitoa rasmi ODM na kujiunga na UDF

Odinga will get more votes in Western province in a run off with Uhuru than he will get in a run off with Mudavadi a factor.

In a run off Raila has consistent support in Nyanza, Western and Coast provinces but when he is paired against Mudavadi his support levels go down in Western

raial anarudi leo kutoka USA alienda kwa Obama kumshinikiza aishinikize ICC iwakamate Uhuru na Ruto wasishiriki uchaguzi asichojua ni swahiba wake Mudavadi ndiye atakuwa Raisi..........kweli kikuumacho kinguoni kwako.......
 
Atakubali tu maana hana kisingizio na support yake aliyokuwa nayo mwaka 2007 imeyoyoma.......waliomsaidia kupata kura wameishia na TUME ya uchaguzi ni huru hivyo hawezi kudai Kibaki kamwibia kura.........

mkuu kama unakumbuka mwaka 2002 musalia, uhuru na walikuwa na support ya Moi lakini walianguka vibaya sana. na musalia sio popular kwa waluya kama unavyosema maana hata ubunge alikosa 2002
 
mkuu nakubaliana nawe asilimia 100 mudavadi will be the next rais should uhuru and ruto get knocked out. For raila its over before it has even begun am afraid

nairobiberry you rock....leo Raila amerudi kutoka USA angalia ameita waandishi wa khabari airport anaona hawezi kusubiri hadi hata afike kwake....................anaona uraisi unavyoyeyuka...........[MENTION]@nairobiberry[/MENTION]
 
raial anarudi leo kutoka USA alienda kwa Obama kumshinikiza aishinikize ICC iwakamate Uhuru na Ruto wasishiriki uchaguzi asichojua ni swahiba wake Mudavadi ndiye atakuwa Raisi..........kweli kikuumacho kinguoni kwako.......
Rutashubanyuma sometimes its very hard to figure out Kenyan political circus, politics in Kenyan is very unpredictable. Bottom line;benefiting from social inequalities
 
Raila ni vigumu zaidi sasa yeye kuwa rais,nadhani uenda akaanzisha kikundi cha uasi na kujaribu kuipindua serikali kama ouattara wa ivory coast
 
mkuu kama unakumbuka mwaka 2002 musalia, uhuru na walikuwa na support ya Moi lakini walianguka vibaya sana. na musalia sio popular kwa waluya kama unavyosema maana hata ubunge alikosa 2002

uchaguzi wa 2002 ulikuwa ni referendum ya Moi na ndiyo maana akina Odinga walianzisha msemo usemao yote yanawezekana bila Moi.......uchaguzi wa 2013 ni referndum dhidi ya Raila kuhusiana na nafai yake ya U-PM.............it is over 4 him ajiandae life without politics....kwa sababu alivyo big headed hata ugavana hataomba au hata useneta.............God humbles the exalted but have mercy on the humbles....................Raila is too proud and God will cut him to size very soon...............[MENTION]@agwambo[/MENTION]
 
Edit kwenye UDM iwe UDF

thank you gaspery lasway.......nimerekebisha hilo ingawaje ile main title naona haitaki kubadilika.something ambayo labda PainKiller atasaidia...........[MENTION]@Gaspery Lasway[/MENTION]
 
Rutashubanyuma sometimes its very hard to figure out Kenyan political circus. Bottom line;benefiting from social inequalities

True The Finest but one thing i am sure of we have seen the last of raila's political stunts and circuses..............his gamesmanship is truly over.............. theFinest
 
Last edited by a moderator:
Raila ni vigumu zaidi sasa yeye kuwa rais,nadhani uenda akaanzisha kikundi cha uasi na kujaribu kuipindua serikali kama ouattara wa ivory coast

wacha kunichekesha nijuacho ni kuwa atakula pensheni na kuwalaani akina Ruto kwa kumharibia ugali wake..........
 
Those of us from western kenya know mudavadi was given a lot of money by the G7 thugs to fight raila. Most of the senior politicians from the luhya community have already dismissed him. What awaits him is similar to what happened to him in 2002. This time we will bury him politicaly. Raila has more support from the luhya than this clueless puppet.

mdharau mwiba humchoma na mwiba wa Mudavadi utamchoma raila.........It is time Raila pays for his 2002 and 2007 political misdeeds.........watchout that be4 the election proper Raila will cannibalize himself and dismantle whatever chance he has even to be in the ballot box................sasa hivi ODM inatuhuma ya kuwa na wanachama 10,000 feki na hivyo wasipokaa chonjo inatosha kukifuta chama hicho...............kwa sababu wanachama wake waliobaki ambao ni chini ya 20,000 hawawezi kukidhi mahitaji ya chama kusajiliwa........watch this space for more info...................
 
True The Finest but one thing i am sure of we seen the last of raila's stunts and circuses..............his gamesmanship is truly over.............. theFinest
Na nafikiri kutofautiana kati ya Raila na Mudavadi ilikuwa ni kwa ajili ya kipengele ambacho kinamfanya mwenyekiti wa chama kuwa moja kwa moja mgombea wa Urais ambapo Mudavadi alikuwa anataka kipengele hicho kirekebishwe lakini akagonga mwamba, sasa baada ya Mudavadi kujiondoa Odinga amebakia na chaguo la mgombea mwenza ambapo kwa sasa akimchagua Kenneth Marende inaweza kumsaidia kiasi ingawa sio sana..
 
ugomvi ulikuwa ni kuwa katiba ya ODM inasema party leader na wala siyo party chairman ndiye mgombea Uraisi. Party Chairman ni Kosgey na raila ni paryt leader. Marende hana msaada kwa Raila kwa sababu waluya wanataka kuwa na mgombea uraisi na wla siyo makamu au mgombea mwenza kwenye nafasi ya umakamu wametoa watu zaidi ya wawili kuanzia Mudavavdi mwenyewe alikuwa makamu wa Raisi Moi kwa miezi 3 hivi na Moody Awori (1997-2002) chini ya Uraisi wa Kibaki...................kwa hiyo waluya wants more they want the presidency.

Raila lazima arudi Rift Valley na kumtupia mfupa uliomshinda Mudavadi kwa yule waziri wa barabara ambaye hata hivyo maishani mwake hajawahi hata kuchaguliwa kuwa diwani na kila anapogombea ubunge huondoka............but that is only choice.......it is gameover.....ninasubiri atasema nini leo asubuhi baada ya kuingia kutoka USA>.............ameita kikao cha waandishi wa khabari airport....................just imagine alivyochanganyikiwa.............
 
Nimeishi na kushuhudia Chaguzi mbili za Kenya isitoshe nina relatives kule wenye "interest" na siasa za Kenya.Honestly mimi sio shabiki wa siasa zao au mtu lakini ni mfuatiliaji mzuri wa siasa zao.

Ni vigumu kutabiri nini kitatokea kwenye uchaguzi ujao kwa kumbukumbu tu: kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 1992 Ford kiikuwa chama kinachounganisha makabila yote kulikuwa na

Keneth Matiba (kikuyu)
Oginga odinga (luo)
Kijana Wamalwa (Lhuya)
Lakini kabla ya uchaguzi mkuu Matiba na Oginga wakagawanyika Moi akapenya kirahisi kwa sababu Wakikuyu wakawa na Kibaki na Matiba,waluo na Oginga, Wakamba na Charity ngilu.....Kwa Moi ukiongeza na madaraka yake akawa na wakalenjin (Rift valley)...Wagiriama na Miji kenda (Cost) na watu wa north eastern.

1997 the same story...lakini utaona pia pamoja na Wamalwa na Raila kutengana lakini bado Raila akashika nafasi ya tatu nyuma ya Kibaki ambaye kimsingi alikuwa mkongwe na mgombea mwenye nguvu kwa wakikuyu.

ya 2002 na 2007 yanajulikana.Lakini hebu tuangalie mwaka huu, kama nilivyosema awali siasa zao hazitabiriki usije kushangaa Musyoka (mwanasiasa asiyetabirika) anaungana na Raila...ama muungano wa G7 unaparaganyika.Muhimu kukumbuka ni kuwa Raila ni Mr. vurugu lakini ni very strategies..anaonekana kama mwanasiasa mstaarabu na anajua namna ya kucheza na siasa za Kenya kuliko mwanasiasa yeyote aliyeko kilingeni.

Uhuru hana nguvu kubwa kwa wakikuyu nje ndio kabisaa..kumbuka Uhuru anatoka kwa wakikuyu wa high class ambako kuna Charles Njonjo mwanasiasa mkimya/Msomi lakini mwenye nguvu (ana-support ODM)..

Ruto bado nguvu yake ndogo hata Rift valley kwake ingawa yuko na Uhuru (hatuna hakika watakuwa mpaka mwisho).Hata Mudavadi naye ana nguvu sehemu tu ya walhuya..kumbuka kuna Eugine Wamalwa (mluya) ambaye yuko G7.
 
Kwangu mimi option ya majina ambayo Raila kabaki nayo ni Henry Kosgey, Charity Ngilu, Martha Karua na Dr Sally Kosgei. Marende anaweza kupunguza uharibifu uliofanywa kwa Raila na ODM upande wa Western kwa sababu ya kuondoka kwa Mudavadi.
 
Umesema kweli lakini Bi Charity na Sally are on their way out Ngilu yuko under NARC
 
pole sana..Raila mstaarabu kuanzia lini? Angelikuwa hivyo yawaje PENTAGON iliyompa u-PM iparanganyike kama siyo yeye ni dikteta?.Raila na kalonzo kuwa behewa moja...................uko wapi na utetezi wa yakuwa sias za Kenya hazitabiriki hauna msaada hapo.................Raila lazima agombee uraisi na kalonzo lazima afanye hivyo..............kuhussu G& hakuna kitu kama hicho...............hao wanachofanya ni kila mmoja wao atagombea uraisi khalafu watakaongoza nafasi mbili za mwanzo ndiye watachagua wakushirikiana nao..........[MENTION]@platozoom[/MENTION]
 
Kwangu mimi option ya majina ambayo Raila kabaki nayo ni Henry Kosgey, Charity Ngilu, Martha Karua na Dr Sally Kosgei. Marende anaweza kupunguza uharibifu uliofanywa kwa Raila na ODM upande wa Western kwa sababu ya kuondoka kwa Mudavadi.

tatizo la katiba ya Kenya mshindi lazima apate zaidi ya kura 50% ya zilizopigwa.....................ingelikuwa kama hapa TZ raila angelikuwa na lake jambo.................lakini duru la pili ndipo atakapoachwa mataa kama yule wa Senegal Abdulwaye......raila ataongoza duru la kwanza kwa about 34% na duru la pili ataishia kwenye 40% na mpinzani wake ataunganisha za wapinzani wote na kupata 60%................Raila is an incumbent leader na wengineo sasa watakuwa upinzani........labda ashtuke na kujitoa kwenye serikali ya umoja..........ambalo litamweka pabaya zaidi kwa maana ya kukosa access ya national resources ambazo incumbent leader huwa nazo........[MENTION]@The Finest[/MENTION]
 
Hivi NARC bado ina nguvu kweli?

kimo ndani ya handbag ya charity Ngilu zaidi ya hapo hakina lolote lile na sikukisikia kama kilikamilisha taratibu za usajili................vyama 24 vilipata usajili wa kudumu
 
Back
Top Bottom