Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
Mudavadi ditches ODM, resigns as Local Govt minister
Deputy Prime Minister Musalia Mudavadi who resigned as Minister for Local Government on Wednesday[Photo:File/Standard]
Musalia Mudavadi on Wednesday resigned as Minister for Local Government after ditching Orange Democratic Movement (ODM) but retained his Deputy Prime Minister post. Read More

Safari ya Mudavadi kuelekea Ikulu ya Kenya sasa imeshika kasi baada ya kujitoa ODM sasa hivi na kujiunga na chama cha UDFP ( United Democratic Forum Party). Mudavadi amekuwa katika mgogoro wa muda mrefu na Raila juu ya utaratibu wa kumpata mgombea uraisi wa ODM......Kufuatia hatua hii ya Mudavadi pia kajivua nafasi ya Uwaziri wa serkali za mitaa lakini anabaki kuwa Naibu Waziri Mkuu nafasi ambayo Raila hana ubavu wa kumng'oa bila ya kuvunja makubaliano yake na Kibaki kwa maana ya vyama vya PNU na ODM ambayo kwa pamoja ndivyo vinaunda serikali ya mseto.............
SOURCE: CITIZEN TV
MY TAKE:
Utabiri wangu ni kuwa kama Kenyatta na Rutto watakwamishwa na ICC..........Mudavadi is the most likely next president of Kenya and not Raila.