Hivi Raila atakubali tena kuukosa uraisi safari hii?
that's what I fear as a Kenyan. what happens if he loses Coz it is already proven he doesn't take losing peacefully.
Hivi Raila atakubali tena kuukosa uraisi safari hii?
Mudavadi ditches ODM, resigns as Local Govt minister
MY TAKE:
Utabiri wangu ni kuwa kama Kenyatta na Rutto watakwamishwa na ICC..........Mudavadi is the most likely next president of Kenya and not Raila.
Hapo kwenye age Mkuu umelenga lakini bado Raila anao watu kwenye eneo hilo, hasa yule jamaa aliyemuepusha The Hague!!! Bado kwenye maeneo ya Nyanza ni maarufu saana hata kwa Bwana Ruto Wakale amewekeza pia!!!!Waluhya wamechoka kubeba makabila mengineyo na Mudavadi yupo ndani ya shinikizo lazima awe kwenye ballot box akigombea uraisi........ndoa yao na Raila ni historia kwa sababu Raila naye hayuko tayari kumbeba mtu mwingine akizinatia he willbe turning 70 very soon......and time is running out.........
Kumbuka kuwa siasa za Kenya hazipo kama tulivyo Tanzania,
isitoshe Raila anakubalika zaidi hata eneo analotoka Mudavadi.
Je, hii inaashiria nini?...
Uhuru is not popular I tell you......not even to an average Kikuyu
Mkuu umaarufu wa Uhuru Kenyata ni kwa Wakikuyu peke yao sasa Kenya ina makabila mengi, mtu maarufu kwa makabila yote mpaka coast ni Raila for your information!!!
Hivyo akipata kura za Wakikuyu hawezi kupenya kwa Kenya yote!!!!
Mkuu umaarufu wa Uhuru Kenyata ni kwa Wakikuyu peke yao sasa Kenya ina makabila mengi, mtu maarufu kwa makabila yote mpaka coast ni Raila for your information!!!
Hivyo akipata kura za Wakikuyu hawezi kupenya kwa Kenya yote!!!!
Nikishamaliza vita iliyopo hapa nyumbani Tanzania ndio nitakuwa na uhalali wa kuangalia mambo ya Wakenya. Tanzania inatokomea tuwaache Wakenya na siasa zao kwa sababu wao kwao hawana time na siasa zetu.
I think it is wrong of you to say with certainty that Raila will never ascend to Kenyan presidency. You are not God.Fidel80..opinion poll ya jana kabla ya hili tukio imemweka Raia ngoma droo na Uhuru Kenyatta wote 44% na ikiwa 12% undecided..............................hii ni opinion poll ya Synovate....Raia will never ascend to Kenyan Presidency the real problem for him he is too abrasive......and has exalted himself above everything and God will humble him in the next poll
kila siku najiuliza,kwa nini wanasiasa wakubwa kenya karibia wote wanamgwaya raila?mudavadi kavutwa na lile kundi la uhuru/ruto/kalonzo. Na kwa hali ya kisiasa kenya inayoongozwa na ukabila natumai mudavadi huenda akaungwa mkono pia hata na raisi kibaki kuhakikisha tuu tinga haukwai uraisi wa kenya.
Yetu macho maana wale washtakiwa wa icc wako tayari kupambana vilivyo kuhakisha raila hapati uraisi.
Hapo kwenye age Mkuu umelenga lakini bado Raila anao watu kwenye eneo hilo, hasa yule jamaa aliyemuepusha The Hague!!! Bado kwenye maeneo ya Nyanza ni maarufu saana hata kwa Bwana Ruto Wakale amewekeza pia!!!!
kila siku najiuliza,kwa nini wanasiasa wakubwa kenya karibia wote wanamgwaya raila?
Raila ni sawa na Dr Slaa. aliporwa haki yake mwaka 2008 lakini hakika anachukua nchi safari hii, huyo Mudavadi hana chake na safari ya kisiasa imefikia kikomo...
I think it is wrong of you to say with certainty that Raila will never ascend to Kenyan presidency. You are not God.
Raila hata afanyeje hawezi kuwa rais wa Kenya....raila ni kama bilal tu..
I think it is wrong of you to say with certainty that Raila will never ascend to Kenyan presidency. You are not God.