Pendael laizer
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 958
- 101
Musa mkanga ambaye ni mmoja kati ya wale waliofungua kesi kupinga lema kushinda uchaguzi jimbo la Arusha mjini. Jamaa anafafanua jinsi alivyoshinda kesi na furaha aliyonayo kushinda kesi yake.
Mkuu grama za kesi zina ni kodi ya walala hoi kwani wanalipiwa na chama yaani CCM kwa tamko la Makamba...Asubiri maamuzi ya court of appeal ndio atakapo jua anafurahi au analia kwa kulipishwa gharama za kesi
Nina wasiwasi kwenye Nyekundu.....Anasema mkutano wa chadema ule mkubwa ambao ulifanyika hapa Arusha baada ya lema kung'olewa yeye nwenyewe alikuwapo na wanachama wa ccm waliongeza idadi ya watu pale.
Anasema mkutano wa chadema ule mkubwa ambao ulifanyika hapa Arusha baada ya lema kung'olewa yeye nwenyewe alikuwapo na wanachama wa ccm waliongeza idadi ya watu pale.
Amesema pia kuwa uchaguzi ukirudiwa ni lazma ccm washinde maana wana historia hiyo mwaka 95
mwambie asfanye kazi kwa kurejea historia ktk dunia ya sasa,aulize cuf igunga na mtaji wao.
Nina wasiwasi kwenye Nyekundu.....