Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

Jaribu hizi, agriculture general, horticulture, agronomy, agricultural economics, animal science au hata applied agricultural extension
 
Embu fikiria umesota kusoma PCB miaka miwili ukitaraji kuja kuwa daktari lakini gafla unaona kama ndoto zako zinakuja kuzimwa hivi hivi unaona!. Fikiria KCMC na UDSM haVipo kwenye Guidebook na nafasi za kusomea MD zipo 589 kwa hesabu za haraka haraka, je unafikiri nini suluhisho la hili kwa vijana wetu PCB? na wengine wanaohitaji sector zingine za afya??

nashauri vijana wote wenye kuhitaji MD kama unajua una kaufaulu ka one ya mwisho mwisho au two ya mwanzoni waanze ku aply MD udom maana naona wana nafasi 90! halafu pia msije ng'ang'ana na MD pekee ombeni pia NUrsing hapo Udom Haraka sana, msije angalia Brand na Jina la Chuo Hakika utachanganyikiwa pale utapokosa chuo!

Pia unaeza apply Pharmacy Vizuri tu ili tu usipate competition isiyo ya lazima!
Huu ni wakati mnatakiwa kutuliaa sana na kufanya maammuzi ya Busara vijana wangu!

Ur UDSM Brother!
 
Back
Top Bottom