Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,316
- 7,734
Kama umeshawahi kutembea nje ya nchi ama kuishi nje ya nchi,basi utapatwa na hasira mara mia zaidi tofauti na ikiwa hujawahi toka nje ya bongo kabisa.Ndo maana viongozi wengi wanawachukia wananchi walio nje ya nchi na kuwaita wabeba box.Kiukweli utakuwa na hasira zaidi na it really pains ukiangalia maisha ya wananchi.Kuanzia wa mijini hadi vijijini.Na hasira hiyo inaweza kuwa mbaya sana.
Mi hasira huwa zinaanzia airport, maana nikiangalia airport yetu ilivyochoka na baadhi ya wafanyakazi walivyo rough, nakatika hadi basi...