Mungu wangu, kanisa jingine lachomwa moto huko Yombo

Si tu waislamu wanajihusisha na uchomaji huu yawezekana hata baadhi ya wakiristo wenyewe kuchoma makanisa yao kwa mashinikizo ya kisiasa,jamani ebu tuangalie na upande wa pili wa shillingi isije tukawa tunachuma dhambi bure kabisa kwa ndungu zetu waislamu kumbe kikulacho........

Mkuu hapo umenena ni kweli wana siasa wanaweza kabisa ku-exploit janga hili, ndugu zetu Waislaam hawawezi kuendela kuchoma makanisa wholesale, point taken MKUU -thanks a lot.
 
Hivi hayo makanisa yalijengwa kwa vibali? Maana siku hizi kila mahala yametapakaa,jamani wapendwa ebu tuwe na utaratibu wa kutafuta maeneo yaliyo sahihi kiusalama,tuyawekee bima na ulinzi wa kutosha maana hali inatisha
 
Kuna kitu kinaendelea sio bure mbona zamani tulikuwa tunaishi vizuri tu baina ya Wakiristo na Waislam na Makanisa na Misikiti yote tunayo mitaani na haichomwi si bure.

kuna watu walisema nchi haitatawalika na hivi sasa WAKO KIMYAAA something is cooking and am smelling fishy.
 
Inawezekana kabisa wanayachoma wenyewe ili kuzidisha chuki baina ya waislam na Serikali yenu na vile wapate fidia kutokana na uchomaji huo.

janja ya nyani ...

Bora ukae kimya na uendelee na shuhuli zako huko Oman.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kwa kweli inauma inauma sana kwa hawa wenzetu wanachotufanyia,kwa kweli serikali hii iwashughulikie wahuni wote wanaoratibu zoezi hili la kuchoma Makanisa
 
Zanzibar Uamsho Wamekunywa pombe yote kwenye Bar za mjini na baadae wakiwa wamelewa wakamchinja polisi mmoja. Jeshi tiifu kwa Zanzibar yaani JKU, VALANTIA, KMKM, ZIMAMOTO NA CHUO CHA MAFUNZO wanapanga kugawa sila kwa raia wote
 
we mdini mkubwa,mmechochea sana udini hapa sasa watu wanaanza kuchukiana na kuviziana kuuana ndio unajifanya eti ipo namna hii sio kawaida..hukumu ya Mwenyezi Mungu haiko mbali,niamini mimi..damu yoyote ikimwagika haitakaa iwaache wote mliochangia kwa namna yoyote ile.
Eti unajifanya unashangaa wakati kama umetoka msikitini mda sio mrefu umesomewa kipeperushi cha kupambana na makaffir kwani mnafikiri kuna siri,sio wote wanaofurahia huo ugaidi.

Hujui ulisemalo naona ubwabwaja tu.
 
nasema kweli sijawahi kuona watu wenye vichwa vigumu kama nyie wenzetu.
Kama ni kweli basi kuna
jambo kama sio kuwa mnayachoma wenyewe ili kudhoofisha serikali ya
Kikwete ionekane dhaifu au kupeleka mnayoyataka imekula kwenu Fumbo
mfumbie mjinga mwerevu hung'amua. Haiwezekani watu wachome makanisa
mbagala then ikisha wakachome Kigoma halafu sasa Yombo. I smell
something fishing is going on. Time will tell. Ikiwa kama kweli ndugu
zetu mna lengo hilo basi mnachochea moto mkubwa time will.
 
Tatizo ni udhaifu wa uongozi, Kumekuwa na uchochezi wa kidini wa dhahiri, lakini serikali imekuwa kimya. Halafu watu hususani waislam wanaamini kabisa uchochezi huu, mfano suala la NECTA, Kumkashifu Nyerere, kusema kuwa serikali inaendeshwa kwa mfumo kristo n.k, Nakumbuka kipindikama cha mwaka mmoja uliopita waislam walikuwa wanatoa matamko makali sana, ikafikia hata kusema nchi igawanywe waislam waishi kivyao na wakristo kivyao. Sikusikia Serikali ikichukua hatua. Redio Iman ya Morogoro imekuwa ikichochea udini sana, lakini serikali iko kimya. Kuna siku nilikutana na watoto wa kiislam walikuwa wanatoka madrasa (chuo) wakiwa wanajadili jinsi waislam wanavyoonewa na wakristo, hapo ndipo niliona kweli sumu imeingia hadi kwa kizazi kijacho.

Kama haya yanayotokea ni mpango wa watu fulani kuleta machafuko, basi wametumia udhaifu wa serikali, baada ya kuona chuki imeenea.
 
Kuna kiongozi mmoja mkuu kabisa wa chama cha Siasa huko Tanzania aliwahi kusema hadhwarani kabisa
TUTAHAKIKISHA NCHI HAITAWALIKI.HATUMTAMBUI RAIS NA NGUVU YA UMMA ITAITOA SERIKALI MADARAKANI.

je hakuna mkono wake hapo katika kutimiza azma yake? Hasa ukizingatia yeye ni mkanisa na yanayochomwa ni makanisa ili achonganisha wakanisa na wenzao.

umevimbiwa gahawa weyee!!
 
tatizo si uislamu, na wala msidhani waislamu wote wanawaunga mkono hao wanaochoma makanisa. Hicho ni kikundi cha watu wanaoutumia mwamvuli wa uislamu kutekeleza yale waliyoyadhamiria siku nyingi na walikuwa wanasubiri sababu ya vitendo vyao.
 
Back
Top Bottom