Mungu nisaidie nisipate mtoto wa kike

Huyo mwanamke saikolojikali hayuko vizuri,kuna mambo yaliyomtokea kweli lakini bahati mbaya hakupata wanasaikolojia wa kumsaidia hivo siyo rahisi kumbadilisha.

Ni kweli mkuu, anahitaji msaada wa kisaikolojia ili kubandili mawanzo yake,
 
Mwambie watoto wa kike wana akili na msaada kwa familia kuliko wa kiume. Ni yeye tu na uhuni wake asifikirie kila msichana yuko hivyo
 
Namshukuru Mungu kwa sababu maisha yangu ni baraka kubwa kwa wazazi wangu na kwa wale wachache wanaonithamini. Na haitatokea kamwe nijilaumu kwa kuzaliwa msichana wala sitojuta nikija kuzaa mtoto wa kike.
Mtoto ni mtoto tu. Jinsi wanavyo-behave watoto wa jinsia fulani, kusikufanye ukamkufuru Mungu kukupa mtoto wa jinsia hiyo. Kuna watu wana watoto wa kiume na wanatamani wasingekuwa wamezaa kabisa. All in all, mshukuru Mungu kwa mtoto utakayepewa, mlee vyema katika misingi bora na muombee sana.
Umenena mambo mazito sana.
Mtoto wa kike ni baraka nzuri sana , na wakati mwingine kuliko wavulana , inagawaje wote ni sawa.
Tatizo la watu ni kukwepa majukumu yao kama wazazi.
Mimi nina watoto wa kike watupu na napatana nao saana na wananisaidia mpaka nafarijika na sijijutii kuwazaa.
 
Watoto nimewapeleka Kingamboni kwa babu yao kiukoo, ili mwenzi huu uishe nikikamata mkajwa tu, mwenzi huu nahama.

Mwambie wife asiwe anakaa mlangoni na mlango umefunguliwa nusu. wateja wa wahaya wakiona hiyo dalili wanajua kuna nafasi. Maana wenyewe huuliza KUNA NAFASI ?
 
binafsi nina watoto wawili wa kike na wanasoma,

lakini anachodai huyu musitafu uchangudoa, haoni maana ya kuzaa mtoto wa kike,
kwanza yeye mwenyewe hataki kuwa mwanamke
anasema;laiti mungu angetuumba upya angekataa kabisa kuzaliwa mwanamke.

Sio kila mtu wa kumsikiliza kuna watu hawajielewi yaani hadi unajiuliza anaishi dunia gani! Maana mawazo yao duniani hawapo Akhera wanatafutwa!
 
Mwambie wife asiwe anakaa mlangoni na mlango umefunguliwa nusu. wateja wa wahaya wakiona hiyo dalili wanajua kuna nafasi. Maana wenyewe huuliza KUNA NAFASI ?

Nashukuru sana mkuu kwa ushauri wako.
 
Sasa kila mtu akizaa dume,mama zetu wangetoka wapi? Hii akili ndogo sana hii.
 
Faida ya mtoto wa kiume ni kuendeleza ukoo wenu. Watoto wa kike wanaolewa na wanaendeleza ukoo wa waume zao ndiyo maana ni muhimu kupata watoto wa kiume. Kuhusu ni mtoto yupi atakusaidia, hayo yanategemea na malezi. Kama mtoto wako wa kiume umemlea vizuri, atakusaidia sana tuu.
 
Ukitaka kupata mtoto wa kiume kuna mbinu lazima utumie. Hakikisha mwanamke anafika kileleni wakati wa tendo la ndoa. Sababu ni kwamba mbegu za kiume (Y chromosome) zinaogelea kwa kasi kuliko mbegu za kike (X chromosome) lakini mbegu za kiume zinakufa mapema. Kwa hiyo mwanamke akifika kileleni itasaidia kupandikiza mbegu ya kiume mapema kabla haijafa. Tumia staili kama za chuma mboga ambazo zinasaidia kuzipeleka mbegu za kiume karibu na sehemu ya kuzipandikiza (fallopian tube) maana mbegu za kiume zikiogelea kwa muda mrefu zinakufa njiani. Kwa hiyo kama huyo mama anataka mtoto wa kiume amwambie mume wake asifanye papara wakati wanajaribu kupata huyo mtoto. Anatakiwa mwanaume atulie, afanye kazi yake taratibu mpaka amfikishe mke wake kileleni tena na tena.
 
Mimi nilipooa nilimuomba Mungu mtoto wetu wa kwanza awe wa kike, kweli tulimpata wa kike na kafanana sana na babake. Nampenda binti yangu.

Ulipooa? halafu mtoto kafana na baba yake. Kwa hiyo wewe ni me au ke!
Sijaelewa!
 
Back
Top Bottom