Pasco bana hukosi vitimbi,mbona.ushauri wako umejikita kwenye imani moja tu?hao wengine ni sawa tu wakifa kwa Corona?Ili kuhakikisha makusanyo ya sadaka hayapungui, kila kanisa, lifungue online pages zake na kutoa mahubiri online kama YouTube channel, na kwenye mahubiri hayo ya online viongozi wetu wa dini wasisitize kutoa sadaka kwa kufundisha usipotoa sadaka unapata dhambi na kadri unavyotoa sadaka kubwa ndivyo hivyo hivyo utakavyobarikiwa kiukubwa.