Mungu mkubwa! Ilikuwa tufe ajalini leo!!

Mngewatia kiberiti na petrol fasta then inakuwa fundisho kwa wengine. Hao polisi watakuwa njama na hao watu, mlivoondoka tu na basi na wao wakaachiwa huru. Nina hasira na majambazi na mafisadi basi tu uwezo sina.

Unaweza rudishwa hatua mia moja nyuma.
 
Ajali nyingi hazitokani na uzembe kama wengi tunavyojua! kuna mengi sana yanachangia hali hii
 
sasa mmewapeleka polisi kufanya nini? Sa izi wameshaachiwa zamaani. Polisi wangekua makini na kazi tatizo hilo lisingekuwepo. Mngetoa "fundisho"
 
Ajali nyingi hazitokani na uzembe kama wengi tunavyojua! kuna mengi sana yanachangia hali hii

Poleni sana..Dah, hii dunia ina mengi..Huu umaskini sijui utatufikisha wapi?? Mungu mkubwa

Hizi ajali ni zaidi ya uzembe wa madereva, nakumbuka kuna lori moja tukiwa kwenye basi lilitaka kutugonga makusudi..sijui wanakuwa na visa gani
 
Mkuu pole sana ila nami iliwahi kunikuta kwenye eneo la barabara ya kuelekea Mazimbu ukitokea Kahama. Walirusha jiwe kwenye kioo cha gari na mke wangu alipata mshikeli ili niliendelea na safari kwa kuhisi kuwa ni majambazi.
Well, umaskini ulioletwa na CCM ndo unatufikisha hapo.
 
poleni sana ila mngemuondoa mmoja wao ingekuwa fundisho polisi watawaachia then kesho tena wanafanya kitu ichoicho kwa wengine maana mngetumbukia mtonii sasa ingekuwa balaa si wakuwahurumia watu hao kabisa maana nao hawanahuruma na roho za watu
 
Polisi wanafika baada ya saa nzima, tulitamani tuwapige bahati wana siraha

mh! Stori yako japo ya kweli, inashangaza. Mmewakamata wahalifu wenu. Mmeshuka toka garini hadi mkawakamata. Ina maana hawakukimbia? Wana silaha. Hamkuwapiga kwa vile wana silaha. Interesting. Poleni lakini
 
mkuu ungesoma mtiliko mzima ungeelewa
 
Aisee hiyo ni hatari kweli kweli....!!Hivi hii nchi na watu wake wajinga wanaelekea wapi na visa vya ajabu ajabu namna hii kila kukicha tunaskia jipya....Hali tete kwa kweli:sick:

niliwahi kuwa naendesha gari ndogo nissan patrol toka dsm kwenda mwanza, nilipopita Dodoma mbele kuna kijiji kinaitwa Chikuyu, niliona watu mbele then wakaishia porini. Machale yakanicheza, nikaongeza mwendo kwani nilikuwa peke yangu. Nilipofika usawa ule wale watu walirusha mawe na wakakosa wind screen ila wakapata quoter windows. Vile vioo vya nyuma pembeni. Nikaendesha sikusimama hadi km12 nikafika Chikuyu. Kuna kituo cha polisi pale. Nikaripoti na wakanipongeza kwa kutokusimama kwani ni ujanja wao kila siku kuangusha magari na kupora watu maeneo yale. Ilikuwa early 2002. Watz noma jamani.
 
Jana baada ya kutoa maelezo pale polisi morogoro na kuacha namba za simu, leo saa nne na nusu napigiwa simu niende kwa ajili ya kukamilisha upelelezi wao, upelelezi gani unaohitaji mimi niende, na niende kwa gharama za nani
 
Kiasi hiki maadili yamefikia Tanzania! Maisha ya mtu hayana thamani Tanzania, saa yeyote mtu unaweza kufa, kuuawa....halafu wamsingizie Mungu!
 
Hongereni kwa kuwakamata na poleni na mkasa huo, yani hiyo mijitu iko radhi kuuwa kikatili kwa tamaa ya mali, hatari sana (mlitakiwa mchukue sheria mkononi iwe fundisho kwa wengine, hii haivuniliki bana.

ndiyo, kulikuwa hakuna haja ya kuwapeleka polisi ni kuwanyongelea mbali wauwaji hawa hakuna haja ya kuwapeleka polisi then mahakamani wangeokoa matumizi ya kodi zetu kwa ajili ya hawa shwain!
 
niliwahi kuwa naendesha gari ndogo nissan patrol toka dsm kwenda mwanza, nilipopita Dodoma mbele kuna kijiji kinaitwa Chikuyu, niliona watu mbele then wakaishia porini. Machale yakanicheza, nikaongeza mwendo kwani nilikuwa peke yangu. Nilipofika usawa ule wale watu walirusha mawe na wakakosa wind screen ila wakapata quoter windows. Vile vioo vya nyuma pembeni. Nikaendesha sikusimama hadi km12 nikafika Chikuyu. Kuna kituo cha polisi pale. Nikaripoti na wakanipongeza kwa kutokusimama kwani ni ujanja wao kila siku kuangusha magari na kupora watu maeneo yale. Ilikuwa early 2002. Watz noma jamani.

pole mkubwa,lakini polisi walikupongeza kwa ujasili wako huku wakieleza ujanja wao,sasa kama wanawafahamu kwa nini hawawashughulikii?kwa wale ambao hawafahamu ujanja wao si ndio wanapoteza mali mkuabwa?hivi tunalindwa au tunajilinda?duuu nchi ya amani sana hii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom