Mungai aongoza CHADEMA kusambaratisha CCM Mufindi

molemo mimi naoga nilale lakini wewe kwanza eneda maliwatoni ukatoe uchafu wa tumboni uchambe uoge usali na kulala maana wewe unatapika na sio kubwabwaja kama mimi
Nakushauri kaoge ulale.Unabwabwaja tu!
 
Sitarajii kusoma kitu tofauti na ulichoandika Kimbunga.

Mdhambi anapotubu maovu yake huwezi tena kumweka fungu la shetani.

Mkuu Molemo haya baba tusubiri wengi watatubu dhambi sasa sina hakika kama mtakuwa tayari kuwapokea.
 
Last edited by a moderator:
Mungai ndio alimchomeka binti yake BOT wakati hana sifa hasira zao ndio wanazipeleka Chadema Mungai ni fisadi pesa za kuanzisha Mufindi Community Bank ametoa wapi hafai kabisa
 
Uchaguzi wa Serikali za mitaa hali ilikuwaje Mufindi?
Isije ikawa kama yale ya Millya huko Simanjiro.
 
Mtu mwenye mzazi mwenye asili ya kenya kamwalika mmasai mwenye asili ya kenya Ole Sosopi.Majina ya akina Mungai si ya watu wa Iringa ni watu wa Kericho kule kenya alikotokea babu yake huyo william akaenda kulima chai Mufindi.CHADEMA kinapenda sana wahamiaji ambao uhamiaji wao nchini una utata na kuwapa mavyeo kienyeji.

Baba yake wa CCM kwanini hamkumtambua kuwa yeye ni mmasai wa kenya.
 
Asante sana Kamanda Wangu Molemo. Amejitambua huyo wachache sana ndio wamebaki ccm na wanakaribia kutubu. Chadema nimpango wa Mungu
MUNGU YUPI!! ORIS au osis??? maana nyie wenzetu huenda hata EDWIN MTEI NI MUNGU KWENU.
HAHAHHHHHHHHAAAAAAAA nawadharauuuuuuuu
 
Mliopo Mufindi tupeane updates juu ya harakati za kuwania Ubunge na Udiwanj???
 
.Joseph Mungai ambaye ni Baba yake William mbali ya kutumikia serikali kama Waziri kwa muda mrefu pia amekuwa mbunge wa Mufindi Kaskazini kwa miaka 35.

Akihojiwa kwa nini mtoto wake amejiunga CHADEMA huku yeye akiwa ni kada mkongwe wa CCM waziri huyo wa zamani amesema kamwe hawezi kumuingilia mtoto wake kwani ni kijana mkubwa mwenye maamuzi yake na amesema anamtakia kila la kheri katika harakati zake.

Je William akikuomba msaada wa HALI na MALI ili kutimiza adhima yake ya kuizika CCM Mufindi wewe (Joseph) Kama baba yake utampatia au utamnyima huo msaada kukinusuru chama chako?
 
Back
Top Bottom