Mume wa maana akiwa na kazi,biashara,kipato vinginevyo atakiona cha moto

Namsteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

I missed you guys! Nina mengi ya kuandika humu, tatizo mudaaaaaaaaaaa! The luxury of time is what i dont have at all. Twende kwenye mjadala fastaaaaaa.

Sio uongo wala unafiki, wanawake wenzangu, wake za watu mnawaona waume zenu wa maana na thamani wakiwa wanajiweza kiuchumi na wana kipato. Mambo ya kiyumba mioyo yenu inageka zaidi ya JIWE!!!!!!!! Hata sijui kwa nini. Kwni mwanaume asie na kazi, kipato IRRESPONSIBLE anawakeraaaaaa kiasi hicho? (Well sio NYOTE bali WENGI WENU). You make me SAD!!!!!!!! Really SAD! Hahahaaaaaaaaa!

oka mwakaueanza huu sijui una nini waume za mashosti wangu full kufilisika filli!!!!!!!!!!!! Kosa hela uijue tabi ya mkeo uzuri! Hahaaaaaaaaa! Its no a laughing matter and i am ashamed of my self for laughing a sensitive matter like this! Hahahaaaaaaaaaa. Nachek kwa huuni kwa yanayotukia huku.

1st Muke ya Mwenye Bar! Yule shosti wangu (Mama mtu zima) jimama la saluni, maa wa waheshimiwa anakaa mjini na P.O.Box, Muke ya Mdigo, mumewe amekuwa Bankrupt!!!!!!!!!!!!!!! Makubwaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!! Bar zimefilisika zote. Mpaka namuonea imani na huruma. He was such a good man, best husband ever and father. Baada ya kufulia ndoa yake naipa 2yrs and i am being generous and very optimistic. Zamani saluni hatpumui, my habby hivi, vile, kanilete dhahabu hizi, tunajenga huku, ana akili sanaa, blah! blah! Wengine wote tunanuksi mabwana zetu maskini wakubwa. Tuikomaaaaaaaaaaa! Acha kabisaa na hivi saluni yake ilibidi tu tuvumilie. Mchana anaacha wateja wakusuka wanamubiri anaenda kumpikia HUBBY! Si ndo anampa jeuri na kwenda msalani mjini hapa. Siku hizi baada ya kuwa broke a.ss mmmmmmmmmh! Anakaa saluni mpaka sa 4 hadi 5 usiku. Mumewe akimpigia arudi anasema kuna wateja, tutakula nini? Rudely kabisaa! Mmmmmmmmh! Si yetu macho! Ana shosti yake anamuuza kwa mibaba ya mjini. Kaununua simu ya bei anaiacha saluni ya magumash. Kutwa analalama wanaume siku hizi, kuolewa ushahidi tu. Jitu zima linangoja litunzwe! Hahhaaaaaaaaaaa! (Its not a laughing matter). Kama si yule aliekuwa anafagia mumewe apite. Badala amanage finance vizuri kumkwamua mwenzie ndo kwanza ana maintain status kwa kuchuna. Ashasahau saluni yenyewe alipewa na mdigo. Basi saluni wasemaje KNA KUACHWA UKALIA AU UKACHEKA! Kucheka ni pale unaachwa unalipata jibaba inakupandisha status mmeo anbaki akitoa mijicho! Viumbe wazito wale!!!!!!!

2nd Mke wa Mutu. Huyu alikuwa napewa nakoz na mumewe mpaka anavimba mwili mzima hadi kulazwa, akipona anapewa madhahabu, pamba, na cash hashtai wala nini wanayamaliza. Sasa siku hizi mumewe nae kawa broke a.ss no madhahabu wala outing wala vacation. Mwendo wa mchicha na maharage. Juzi kabambwa na sms ya MPESA katumwa hela, kapewa nakoz za kufa mtu mpaka kiuno kikatenguka, jicho limevia damu. Ukitaka kujua maskii hana rafiki kaenda kushtaki polisi. Kamtupa mumewe lupango tangu juzi. Hataki masikharakafika mpaka TAMWA!!!!!!! All of a sudden ndo anaona injustice anazofanyiwa in 5 GOOD YEARS!!!!!!!!!

3rd Muke ya Boss. Huyu ndo anawatia kiburi wote hawa na kuwapotosha kabisaa. Muke ya bosi ni yule mzuriiiiii hajawahi fanya kazi yoyote afu ana bahati na wanaume wa maana. Bosi aliuwa anamuendesha balaa. Ila nae ana roo ya korosho, anamfumania bosi aamwambia tangulia nyumbani, afu anamshushia kipondo mgon wake na kumchana na viwembe. Akirudi kabla hajakohoa bosi ana mbadilishia gari, na set ya tanzanite au white gold au madini yoyote, kesi inaisha hapo apo. Sasa kimbmbe big boss aliachishwa kazi. Mmmmmmmh! Akawa anasema saluni mimi dhiki sijazoea. Baba B namuacha sasa hivi. Tukajua maneno ya mkosaji. Mmmmmmmh! Akalipa sijui Boss gani huko, huyo kachukua wanae 2, wamehamia Mikocheni,na watoto shule kwahamisha ya ghali zaidi, na jina kawabadilisha kawapa la step dad. Baba B. akawa anashinda bar, talaka hataki kutoa. Baadae baba B akaajiriwa interntional org. kazi yake kumuhonga mama B arudi home mkewe. Hahahaaa! Mama B anamchuna tu. Ila simlaumu baba B, Mama B wa ukweeee, chotara, msomi,mzuriiiiiiiiiii, afu mama yake alikuwaga nyakanga so uwezo wak 6*6 inasemekana ni outstanding ndo maana baba B kasahau yote.

All in all MWANAUME KOMAAAAAAAAAAAAA! HESHIMA YAKO MFUKO WAKO! OTHERWISE UNAJIDANGANYA NA UTAKUJA KUJUTIA! Ukiwa ofisini usijibweteke fungua miradi, invest na usali sanaaa usije kuyumba kiuchumi. Utakiona cha moto! Wanawake vinyonga! Tunapend tuhudmiwe na kutnzwa! Ukiwa na hela mwanamke atafagia upite. Ukimkoromea atanyamaza. Akikosea ataomba msamaha. OLE WAKO SIKU UWE HUNA!!!!!!!!!!!

FIMBO YA MWANAMKE NI PESA! Ukimzidi tu baaaaaaaaaaasss!

Maneno yako yanauma ila ndo ukweli!! Pesa kwanza ..acha tukomae tuuu!!! Sina la nyongeza... nshakupa like yako!!!
 
Hahahaaaaa! IT IS EASIER SAID THAN DONE! kujikosha aah mi niyashikamana na wangu katika hali zote rahisi kweli ila ikifika kutekeleza hapo chachaaaaa!

Weeeeeee! Chezea kumuhudumia mtu mzima mwenzio. Inabidi usiwe mvivu na usipende makuuu.

Kujiuza kunakuja automatc kama maamuz magumu na sacrifice. Sometimes ibakuja kama act of unselfishness. We mwanao yuko essacs au academic na ndo ushakuwa broke a.ss. either ujiuze apate elimu bora au uwe selfish arudi ze kayumba. Apate emotional stress na unyoonge utoto wake wote.

lara 1 bwana usitake kumuingiza mwenzio chaka utashindwaje kumuhudumia mume kwani utamuhudumia maisha yote????????? unamuhudumia huku mnafight kurudi mlipokuwa before mbona yeye alipokuwa mambo safi alikuhudumia kiroho safiiiiiiii iweje mke eti uchukue maamuzi magumu ya kujipiga bei et kisa mtoto aendeleee kuwa Academy
unawaweka chini wanao na kuwaeleza kwa upole kuwa uchumi umeyumba so watasoma kayumbazi mpaka baba apate kazi wanaelewa sana na wala hawatapata unyonge
 
Last edited by a moderator:
Its True , the power of a man is measured by his wealth and not sexual performance. We need to cover the basic needs,then Investment portfolio,,,,,oooh additional can then be sexual activities Nice wkend all
 
lara 1 bwana usitake kumuingiza mwenzio chaka utashindwaje kumuhudumia mume kwani utamuhudumia maisha yote????????? unamuhudumia huku mnafight kurudi mlipokuwa before mbona yeye alipokuwa mambo safi alikuhudumia kiroho safiiiiiiii iweje mke eti uchukue maamuzi magumu ya kujipiga bei et kisa mtoto aendeleee kuwa Academy
unawaweka chini wanao na kuwaeleza kwa upole kuwa uchumi umeyumba so watasoma kayumbazi mpaka baba apate kazi wanaelewa sana na wala hawatapata unyonge

Niitie dadako mwallu naye aje atoe neno hapa!!!
 
Last edited by a moderator:
na wanaume wajue wasijiachie tu. duniani hapa kila mwanaume anajua kukata kiuno na kunyonya maku. wasioweza ni wachache wenye kisukari ndio maana dunia inajaa kila kukicha. sasa wewe weka akili yako katika kusugua na kuchezea kisimi badala ya kutafuta pesa.

Hlo nalo neeeno.
 
LIFE IS MORE THAN SEX!!!!!!!!!!!!!!!!! Watoto wakidaiwa ada utaenda kusugua pauchi ya Head mistress? Chakula utauza dushelele ndo ununue?

Hapa tunaongela HELA ZA KUCOVER MAJUKUMU/RESPOSBILITY ZA KAWAIDA WATOTO WALE NA KWENDA MSALANI. Sasa bahai mbaya maisha ya yakikupiga kashinda kuamintain coverage ya hizi basic need, ukamtegemea mkeo ndo akukavie weeeeeeeeeee! Your sorry self is AT STAKE!!!!!!!!!!!

Na kinachotisha zaidi MAISHA NI DUARA! SIO SIKU ZOTE UKO JUU!!!!!!!!!

Nakwambia hata kusimama haisimami ng'o! Wakati umeulizwa tunakula nini hujajibu na nyumba haikaliki? Sex ni luxury ya wenye uwezo kwa hiyo dushe linabakia kudrain kibofu cha mkojo basi.
 
Naomba kujuzwa...Hivi wadada wotee wa humu MMU wanaishi na waume/hawara zao kwa misingi ya PESA tu???
Hawapo wanaowapenda wenzi wao, wanaoishi maisha ya kawaida sana ya kupanga, mishahara ya kawaida tu na kuridhika nayo???

Mbona mnaongea kama vile kila mtu humu ana mume tajiri, anayeweza maisha??
Why do you guys fantasize like this??
 
Ukweli unatakiwa usemwe kama ulivyo !!!!!!!!!! na ninawaambia wanaume tusipokazana kutafuta hela tutaachwa...

NB; warning haya mambo yanawafanya watu kupokea rushwa ili kutimiza mahitaji



Ni kweli kabisa, tujitahidi kuwekeza mambo yakiwa mazuri na la maana zaidi kama mke hana kazi tusiridhike na hali hiyo hata kama tunaweza kutosheleza mahitaji yote ya familia. Mfungulie biashara maana lengo sio kuongeza kipato tu pia usalama wa kiuchumi iwapo mmoja atayumba.
Halafu wanaume tusiojiandaa ndio tunakuwa majanga kabisa:Tuna tatizo la kisaikolojia-inferiority complex.
Mwanamke anaweza kukubaliana na hali akaamua kubangaiza ili mambo yaende. Mwanaume unaanza. Mara mama fulani siku hizi una dharau huniheshimu...mara akiita hajasikia eti anamdharau kwa kuwa hana hela....ataanza kumwekea sheria, akitoka aage na arudi mara moja, akichelewa kurudi anadhani alikuwa kwa wenye nazo, ugomvi. Mama akiwaletea watoto zawadi akisikia wanamshukuru, moyo unalipuka eti wanampenda tu mama yao yeye hawampendi.Akijiremba ngozi,nywele na kutinga pamba mpya roho, juu hela kapata wapi atazuiwa kuondoka. Yaani matatizo kwa kwenda mbele.
 
lara 1 bwana usitake kumuingiza mwenzio chaka utashindwaje kumuhudumia mume kwani utamuhudumia maisha yote????????? unamuhudumia huku mnafight kurudi mlipokuwa before mbona yeye alipokuwa mambo safi alikuhudumia kiroho safiiiiiiii iweje mke eti uchukue maamuzi magumu ya kujipiga bei et kisa mtoto aendeleee kuwa Academy
unawaweka chini wanao na kuwaeleza kwa upole kuwa uchumi umeyumba so watasoma kayumbazi mpaka baba apate kazi wanaelewa sana na wala hawatapata unyonge

lara1 you have a point kweye post yako nimekupa like. Ila sasa hapa tunaongelea mume. Je linapokuja swala la kuhudumia boyfriend? hapo pia mtu avumilie jamani, si utakufa siku si zako.Boyfriend tu wala si mchumba umlishe, umvishe,umnyweshe na pocket money juu, kweli hapo ukimkimbia una kosa kweli wajameni??
 
lara1 you have a point kweye post yako nimekupa like. Ila sasa hapa tunaongelea mume. Je linapokuja swala la kuhudumia boyfriend? hapo pia mtu avumilie jamani, si utakufa siku si zako.Boyfriend tu wala si mchumba umlishe, umvishe,umnyweshe na pocket money juu, kweli hapo ukimkimbia una kosa kweli wajameni??

Hahahaaaaaaaaaa! Umeonaaaaaa!
 
hii mada inakatisha tamaa kabisa, hasa kwa sie ambao uchumi kama unataka kuyumba.

wababa ambao mambo yao yako safi wasiwagonge wake wa wanaume wenzao ambao wana hali mbaya.. mnawaletea presha hao wanaume. Pia ujue siku ukiyumba kidogo na ww watakupigia mkeo uone inavyo uma.
 
Zamaniii nilikuwa nasikia kauli "Umasikini ukiingilia mlangoni, mapenzi hutokea dirishani".
I wish mbongo fleva mmoja autungie wimbo huu msemo. Wapi Ally Kiba...
 
Back
Top Bottom