Mume wa maana akiwa na kazi,biashara,kipato vinginevyo atakiona cha moto

LIFE IS MORE THAN SEX!!!!!!!!!!!!!!!!! Watoto wakidaiwa ada utaenda kusugua pauchi ya Head mistress? Chakula utauza dushelele ndo ununue?

Hapa tunaongela HELA ZA KUCOVER MAJUKUMU/RESPOSBILITY ZA KAWAIDA WATOTO WALE NA KWENDA MSALANI. Sasa bahai mbaya maisha ya yakikupiga kashinda kuamintain coverage ya hizi basic need, ukamtegemea mkeo ndo akukavie weeeeeeeeeee! Your sorry self is AT STAKE!!!!!!!!!!!

Na kinachotisha zaidi MAISHA NI DUARA! SIO SIKU ZOTE UKO JUU!!!!!!!!!
Salam zako nyingi, umetoa kali leo
 
Wanaume tutaruka ruka but huu ndio ukweli mchungu!
Mambo yanabadilika kwa kasi sana, sio kwa shida na raha tena bali ni kwa raha tu!!!
Ndo maana najisemeaga bora uache shilingi mia mia mezani kila siku kuliko kuacha 10000 leo halafu kesho huna hata senti ya kuacha! Mbona kiama kitakushukia na hawa wanawake wa kisasa!!!
All in all, Wanaume inabidi tujipange saaaana.
CHANGES ARE INEVITABLE
Hahahaaaaa! Umeamua kuwa conservative! 100 hutaki mjadala!
 
Umeongea uhalisia japo sijasoma comment za watu ila ukweli
Ni huo! Siku moja nilikua nasikiliza njia panda kutoka clouds fm zamani zile alikua mtangazaji somebody Ndege!! Kuna jamaa mmoja yeye alikua jambazi wa ukweli yaani yeye alikua akiiba akiua anaenda kutumia pesa na mdada wale wachunaji pesa zikiisha Hana habari nao!! Mtangazaji akamuuliza sasa huoni wivu mtu anakupenda ukiwa nazo tu! Akajibu ukitaka ufe mapema mfanye mwanamke permanent stuff!! Nilipata somo pale! Wito wangu kwa wanaume wenzangu!! Wanawake sio ndugu zetu wapi nasi kwa sababu maalumu!
 
Ujumbe mzuri....... umfikie mume wangu mtarajiwa popote alipo!!

mhhhhhhhhhh tinna kuna meseji zaidi ya moja kwenye mada unataka ipi imfikie
1 kwamba akifilisika utamkimbia
2 kwamba pesa ikimpiga chenga heshima baina yenu haitakuwepo
3 utakubali kuuzwa na kujiuza kwa mapedesheee ili mradi umentain status uendelee kuwa juu kama mashosti zako
4 au utashikamana na mumeo kwa lolote litakalotokea hutababaishwa na kuyumba kwa uchumi bali utakaza buti ili mrudi juu kama zamani
 
Last edited by a moderator:
mhhhhhhhhhh tinna kuna meseji zaidi ya moja kwenye mada unataka ipi imfikie
1 kwamba akifilisika utamkimbia
2 kwamba pesa ikimpiga chenga heshima baina yenu haitakuwepo
3 utakubali kuuzwa na kujiuza kwa mapedesheee ili mradi umentain status uendelee kuwa juu kama mashosti zako
4 au utashikamana na mumeo kwa lolote litakalotokea hutababaishwa na kuyumba kwa uchumi bali utakaza buti ili mrudi juu kama zamani

Hahahaaaaa! IT IS EASIER SAID THAN DONE! kujikosha aah mi niyashikamana na wangu katika hali zote rahisi kweli ila ikifika kutekeleza hapo chachaaaaa!

Weeeeeee! Chezea kumuhudumia mtu mzima mwenzio. Inabidi usiwe mvivu na usipende makuuu.

Kujiuza kunakuja automatc kama maamuz magumu na sacrifice. Sometimes ibakuja kama act of unselfishness. We mwanao yuko essacs au academic na ndo ushakuwa broke a.ss. either ujiuze apate elimu bora au uwe selfish arudi ze kayumba. Apate emotional stress na unyoonge utoto wake wote.
 
Last edited by a moderator:
All in all MWANAUME KOMAAAAAAAAAAAAA! HESHIMA YAKO MFUKO WAKO! OTHERWISE UNAJIDANGANYA NA UTAKUJA KUJUTIA! Ukiwa ofisini usijibweteke fungua miradi, invest na usali sanaaa usije kuyumba kiuchumi. Utakiona cha moto! Wanawake vinyonga! Tunapend tuhudmiwe na kutnzwa! Ukiwa na hela mwanamke atafagia upite. Ukimkoromea atanyamaza. Akikosea ataomba msamaha. OLE WAKO SIKU UWE HUNA!!!!!!!!!!!

FIMBO YA MWANAMKE NI PESA! Ukimzidi tu baaaaaaaaaaasss!

hapo pa red umeongea ukweli mtupu lara 1 ,hamna jibu zaidi ya hilo hapo
 
Last edited by a moderator:
Ukweli unatakiwa usemwe kama ulivyo !!!!!!!!!! na ninawaambia wanaume tusipokazana kutafuta hela tutaachwa...
NB; warning haya mambo yanawafanya watu kupokea rushwa ili kutimiza mahitaji
 
Back
Top Bottom