Mume ni mtamu asikwambie mtu

Hapana mkuu, kumbe yale maongezi yetu yalikuwa yanamkera mwenye mali zake.
Ndio ......we Ukisikia Kuna Mwanamke huko mmeo anampelekea Matatizo yake badala yako Ungependa...

Kama hujaolewa Olewa Unaleta Migogoro kwenye Familia za Watu. Na Inawezekana Mlitaka fikia Hatua Ya Kupeana kabisa
 
Habari za jioni wakuu,

Basi kule kibaruani nilitokea kupata swahiba ni mkaka umri wetu ni karibia sawa, kaka huyu ameoa na amebahatika kupata watoto wanne na mke wake. Kaka huyu tunaongea mengi, nikipata hata mitihani kibaruani nitampigia simu tunaongea ananifariji basi siku inapita. Kaka yangu huyu wa hiari alinitambulisha kwa mkewe, ikiwa siku kukiwa na ki sherehe nitakwenda birthday za watoto na vitu kama vile.

Ilitokea wakati flani walikuwa na mtafaruku mkubwa sana na mke wake, kwakweli yule kaka yakimzonga alinipigia simu na tukafarijiana, ule mtafarufu ulikuwa mkubwa kiasi cha wazazi wa pande zote mbili kuitwa, basi kwenye kikao wakaambiwa kila mtu aweke manyanga yake mezani yachambuliwe, lisiachwe jani la tatizo, kikao kimekuja kufagia, kwani kikiisha famila zote zinataka kuona wanalea watoto wao.

Mke wa swahiba si aseme kwenye kikao, kuna mwanamke anaitwa Sky Éclat, kila siku wanaongea kwenye simu, muulizeni uhusiano wao. Swahiba anakuja kunisimulia kesho yake kazini ananiambia lilimfika hata mwenyewe hakulitegemea.

Jamani mume mtamu, nimekoma kuwa na uswahiba na waume za watu.
Hebu njoo inbox tuyajenge
 
Eehh mweee karibu sanaa ila umefanya vbaya kumfunda ona sasa basi tu njoo uchukue maana vimekukenga shemeji.
Mm nimemfundisha tu jinsi ya kuishi na mume sas yeye kapitiliza naona ila hapajaharibika kitu nakuja kuchukua mim
 
Habari za jioni wakuu,

Basi kule kibaruani nilitokea kupata swahiba ni mkaka umri wetu ni karibia sawa, kaka huyu ameoa na amebahatika kupata watoto wanne na mke wake. Kaka huyu tunaongea mengi, nikipata hata mitihani kibaruani nitampigia simu tunaongea ananifariji basi siku inapita. Kaka yangu huyu wa hiari alinitambulisha kwa mkewe, ikiwa siku kukiwa na ki sherehe nitakwenda birthday za watoto na vitu kama vile.

Ilitokea wakati flani walikuwa na mtafaruku mkubwa sana na mke wake, kwakweli yule kaka yakimzonga alinipigia simu na tukafarijiana, ule mtafarufu ulikuwa mkubwa kiasi cha wazazi wa pande zote mbili kuitwa, basi kwenye kikao wakaambiwa kila mtu aweke manyanga yake mezani yachambuliwe, lisiachwe jani la tatizo, kikao kimekuja kufagia, kwani kikiisha famila zote zinataka kuona wanalea watoto wao.

Mke wa swahiba si aseme kwenye kikao, kuna mwanamke anaitwa Sky Éclat, kila siku wanaongea kwenye simu, muulizeni uhusiano wao. Swahiba anakuja kunisimulia kesho yake kazini ananiambia lilimfika hata mwenyewe hakulitegemea.

Jamani mume mtamu, nimekoma kuwa na uswahiba na waume za watu.
Kumbe na wewe huna mume????
 
hhahahahaha usikubali uishie kuona, siku ingine onja kabisa na wewe
 
Mm nimemfundisha tu jinsi ya kuishi na mume sas yeye kapitiliza naona ila hapajaharibika kitu nakuja kuchukua mim
Haya ngoja nikitoka kwa kazi ni PM jioni shemeji ngoja nkapasue mgonjwa kwanza nipige moja akili ikae sawa ndo niende maana kazi ngumu sana iyo
 
Mlikokuwa mnaelekea ni kubaya na huenda mapinduzi yangetokea bora mke amestukia game,,,,,,,,,,,!!!!
 
Lazima kukereka mume una mke tena mbele ya mkeo unajiachia kwa stori kwenye simu tena ni blaablaa tu wala Siyo mambo ya msingi,LAZIMA HOFU IWEPO MAANA HATA MIMI SIJAZOEA URAFIKI NA MWANAMKE eti ndio niseme rafiki tuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom