Mume kamkuta mkewe na love bites kwe makalio yake, ushauri unaitajika kulinda ndoa

Wana JF,
Mimi ni mgeni huku MMU uwa napita tu siku moja moja!

Leo nimepata nafasi na mimi kuchangia huku, kuna jamaa yangu tunafanya nae kazi ni mtu wangu wa karibu sana kapatwa na mtihani.

Kaniomba ushauri kuhusu huyo mtihani wake kutoka kwa mke wake, wakati wanajiandaa kwenda kazini asubuhi wakati mke wake anavaa nguo.
Kumuangalia sehema za makalio yake ya mke wake kaona kuna Hickey, kiss mark or love bites, sehemu zote mbili za makalio.
Kumuuliza nini hicho? Mke wake anajibu hamna kitu labda nimekaa kwenye kitu kigumu ndio kimeacha hizo love bites.
Wakuu kwa kweli nikashindwa kutoa ushauri naombeni michango yenu tumsaidie jamaa yangu.
Nawakilisha

Jibu la mke limetosheleza ushahidi kuwa ameshughulikiwa na bwana mwingine kwani DICK always uwa ngumu kama chuma cha pua wakati wa kazi, yawezekana ile style au position ilimfanya mtoa dozi kuyang'ang'ania/ kuyafinya makalio wakati anamalizia kazi au anakamulia maziwa kwenye kikombe!!!!!!!!!!!!

Jamaa ampige chini kwani hata watoto hawana sasa ya nini kuendelea naye. Pia bibie anataka watoto, hivyo anajaribu kuwatafuta hata kwenye genes nyingine. Na kukuosa kwao watot yawezekana kunachangiwa na kutokuwa na elimu ya uzazi. Waambie wa-google watapata majibu!!
 
Wekeni hapa picha ya hayo makaiio yenye alama za visoda tutoe majibu!
 
Wana miaka mitatu toka wafunge ndoa!
Lakini bado hawajapata mtoto

Kama unaweza kukaa na mwanamke kwenye ndoa zaidi ya miaka miwili na bado haujamfahamu basi fahamu fika kuna mwanaume au wanaume mwingine/wengine ana/wanamfahamu!
 
Kama masaburi ni makubwa si rahisi kufika hadi kwenye potato salad bana. Si anang'ata mashavu tu halafu mfereji anauepuka.
Kaka hujawahi piga chabo enzi za utineja? Masaburi yanapekuliwa kama unapekua karatasi za notebook. Njemba inazamisha pua katikati ya mfareji, yaani kama imevaa mawani ni lazima ivue....... halafu manjemba kama hayo yana ulimi kama wa ng'ombe, mrefu na mgumu. Lazima kishimo kipenyezwe........ Nashukuru nshakuwa mkubwa nimeacha kupiga chabo!

hivi wewe .....khaaa!
Pole dada, kagua shemeji yangu ulimi vizuri, usijekuta naye ndo zake.....

daah babu we ni sooo ... the guy was trying to show the difference and was going "dirty"!!
Hahhah...... You can say that again!

Hahaha! Babuuuu..si unajua kuwa 'mwizi' huwa anataka kuonesha 'utofauti' na mwenye nacho..apo sasaaaa! atafanya nythng dirty to please 'mhalifu'..
Afu ukute jimama lina masaburi kama ya nyani, hata ikichamba haitakati njema lakini unakuta njemba linajidadavua kulamba kisamvu cha kopo!........ Aliyegundua mapenzi alikuwa mchafu kuliko mende!
 
2426169383_a550d62e62.jpg


...la la la la la...not listening!!!

...Forget the bite :pray: I sing for you...
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Asikurupuke afanye uchunguzi taratibu ili apate ukweli wa mambo na kumjua mwizi wake kama ni kweli. Pia inawezekana kabisa sio love bites, mara nyingi watu weupe haswa wanawake ni rahisi kwa miili yao kupata alama kutokana na kukandamizwa na kitu kigumu.
 
Kusema ukweli hali inasikitisha. Ninawaz kwa sauti ni bora wanawake tukubaliane na ukweli kuwa mambo ya kucheat tuwaachie wanaume!! turudi kwenye uanamke wetu wa enzi hizo, tuzivae aibu na maadili yetu ya kale, tuache maswala ya kucheat ni kawaida mradi tu usishikwe; tuache masuala ya mbona yeye anafanya e.t.c.

Kufumaniwa kwa mwanaume si sawa na kufumaniwa kwa mwanamke. Mwanamke tunabakia na doa milele ilhali mwanaume akifumaniwa atapewa sira na kesho yake linasahaulika na kuheshmiwa kama kidume!! Kulikuwa na topic ya Are we fighting the Lost Battle? kuna mengi ya kujifunza kule.

Hata sijui nimshaurije mfikwa hapa lakini nina moja tu la kusema kwa mkewe: Wifi kama kweli umetenda...............Shame on you!!

dah!....dada yangu sijui nisemeje sasa ili uelewe ninachotaka kumaanisha......kwa komenti na mitazamo yako....nikisema 'nakupenda' nitakuwa nakukosea?....samahani kama nimekukwaza!!!wish wote mngekuwa kama wewe na nyumbakubwa yaani!!
 
Mmmh nilikuwa sijaja mjini

Sent from Iphone price 5Mil using JF nchi za nje.
 
Wekamo na tupicha hata tumoja na mm nijuepo hako ka-love bites kwa kweli! Maana mm npo Koromije na sijawah kuzionapo hzo tumambo twa kizungu

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
dah...huyo jamaa ako jasiri sana,me ningekua nishamvunja mkuu au taya...dadadeki...original evidence ipo
Hahaaa mkuu wachana na kitu original evidence, usiombe ukutane nayo! Badala ya kuvunja mtu taya unaeza jikuta umelazwa kitengo cha Kikwete pale muhimbili

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Hahaaa mkuu wachana na kitu original evidence, usiombe ukutane nayo! Badala ya kuvunja mtu taya unaeza jikuta umelazwa kitengo cha Kikwete pale muhimbili

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom