Mume HIV positive anaitajika

Kukuita kijana imekuwa nongwa?Kwani wewe ni mzee?Nilikuwa nimeshakuandalia kuku wangu ila sasa hivi nawala wote,sikupi tena!
Ulikuwa hujaamua mimi Nile leo😩😩
Basi nafuta kauli kijana mwenzangu..

Haya kaweke kuku kule muda ukifika😋😋
 
Hongera kwa kuwa muwazi na kutotaka kuambukiza wengine kwa lazima.
Mnaotumia ARV kwa kujificha na kutembea na wasio na maambukizi makusudi MUNGU ANAWAONA
mtu anayetumia arv kwa usahihi kwa wiki 3 mpaka 6 hana uwezo wa kuambukiza mtu mwingine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom