Siwezi sema hiyo story ni ya ukweli
lakini situation kama hizo zipo; sasa sijui kuna ujuzi wa kufanya mapenzi (kama una maumbile makubwa) na usimuumize mwenzio? Umeshasikia kunawatu wanavalishwa pete? Hiyo husaidia kuwazuia wasiingize yote maana nafikiri wakizidiwa na utamu wanasokomeza tu.
Najua kwa ujuzi nafikiri unaongelea kumuandaa msichana na vitu kama hivyo, hiyo ni normal na kubwa kiasi thing, lakini kwa hizo za pete rafiki yangu; watu huomba ruhusa ya kwenda kususu na kupotelea moja kwa moja.
Kuna unene na urefu jamani. Wanaovishwa pete ni urefu. Halafu mi si amini kama unene unakuwaga ni tatizo labda urefu. Urefu ukizidi kiwango unaweza kuua mtu.
Sio kwa kiwango cha kupitisha lidudu likubwa, halafu kumbuka mtoto anatoka ndani, na hilo dudu linaingia kutoka nje!
hahahah...
inawezekana ndugu yangu maana binafsi imeshanitokea na sasa hivi kazoea tu...muhimu maandalizi plus vilainishi vingine
Waoh, usiniambie yako ina unene wa kichwa cha mtoto. Ha ha hah!
Source ya hii habari inanifanya nisiiamini hii habari.
dunia hii na mambo yake yamebadilika sio zama zile amri waz aplicabo nowdays ,vijana wanabugia bwimbwi,wanakula starter midudu inakuwa mikubwa wee sasa usipo shake well b4 use kizazi kitatokea mdomoni weee
kama ni mimi siombi talaka najiondokea wakiniuliza nawaambia mwiteni hapa aonyeshe mzigo wake weehata kama ni mimi ningeomba talaka