Multichoice (Dstv) na Zuku hatarini kunyang'anywa leseni za kurusha matangazo Tanzania kwa kukaidi Agizo la TCRA la kutoonyesha televisheni za ndani

Hio ni mamlaka sio MTU binafsi, wakikurupuka wataishia kulipa mafidia,hakuna tumbua tumbua yenye tija
Hawamwezi kwa lolote DSTV. Yule ni mkaburu na British shareholders. Yatakuwa kama ya Acacia, hawawezi kufanya kitu kwa kulazimishwa na wajamaaa njaaa. Dunia ya sasa ivi ni ya malipo, lazima upate huduma kwa kulipia. Mbona Acacia wamewashindwa, kinachotokea hapa umesainishwa mikataba ya kinyonyaji lazima uitumikie na kama utaki unashitakiwa mahakama unalipa fidia zake za uwekezaji wake apa Tanzania
 
Tatizo kubwa ni tcra kuweka sheria, kanuni na leseni za kipuuzi ambazo hazina tija kwenye biashara hii ya kurusha matangazo ya tv. Wameweka utaratibu mbovu ambao haiwez kumnufaisha yyt kati ya mmiliki wa tv (mfn ITV) na mmilikii wa king'amuzi (mfn DStv).
Tatizo kubwa lilianza pale kwa TCRA walipotaka kujikomba kwa wananchi kwa kutaka kuwa na channel za kuonyeshwa bure wakat hizo channel hizo ziko kibiashara. Hapa ndipo kiini cha huu mkanganyiko wote. Hili likapelekea kuja kwa kwanuni na leseni za kijinga ambazo zinawaumiza wenye channel na wenye ving'amuzi. Channel iliyotakiwa kuonyeshwa bure ni moja tu TBC1 ambayo haijiendeshi kibiashara. Hiki ni kilio cha mda mrf toka kwa wamiliki wa hiz channel na wamiliki wa ving'amuzi. TCRA wameharibu kabisa huu mfumo wa digital.
Mfano: ITV watapataje hela kama matangazo yake yanaonyeshwa bure Azam TV? Hapa ITV itamlazimu amlipe Azam TV kwasababu kampatia coverage ambaye itamsaidia yy itv kupata matangazo. Hapa ITV atakuwa anatoa hela yake mfukoni ili tu huyu mtanzania aangalie bure. Inshort hela ambayo mwananchi alitakiwa alipie king'amuzi italipwa na ITZ which is not right.

Biashara hii ya matangazo ya digital iko hivi:-
King'amuzi kinarusha channel then mteja analipia kuona hizo channel. Hapa sasa ndipo biashara inapoanza na ndipo TCRA anapo ingia kuharibu hii biashara.
1. ITV kama wana wateja wengi (coverage kubwa) basi DSTV atalazimika kumlipa itv kiasi fulan watakachokubaliana maana kamsaidia kumletea wateja ambao watanunua kinga'amuzi chake na walipie kila mwezi kuiona itv. Hapa hii hela iliyolipwa na wewe mteja ndio watakayogawana itv na dstv.
2. Kama itv hawana wateja wengi (coverage kubwa) basi itv watalazimika kumlipa dstv kias fulani watakachokubaliana maana atakuwa amesaidiwa kuongeza idadi ya wateja (coverage kubwa) hivyo kumuongezea idadi na thamani ya matangazo. Kiasi kidog cha faida anayopata itv kutoka kwny matangazo atampatia dst na kiasi kidogo kingine dstv anakipata toka kwa mteja aliyelipia king'amuzi. Kama itv itaonyeshwa bure basi yy itv atalazimika kulipa kiasi alichotakiwa kulipa mteja wake mana itv ndio atakayenufaika na uwepo wake ndani ya king'amuzi cha dstv.
Suala la channel za ndani kuwa bure halina tija kwny uzalishaji. Litaua ving'amuzi vya ndani na kuua hizi channel za ndani. Channel za ndani zotashindwa kuwalipa wnyw king'amuz ili channel zao zilionyeshwe bure, vivyo hivyo ving'amuz havitaweka channel hiz kwny ving'amuz vyao kama hawalipwi na mteja wala channel husika (itv). ITV atakosa coverage, hvyo atakosa hela ya matangazo atakufa. Mwenye king'amuzi atakosa channel kwny kinga'amuzi chake, hivyo atakosa wateja wa kunua king'amuzi chake na kukosa malipo ya kila mwezi ya vifurushi vyake, atakufa.

Hakuna bure duniani. TCRA kwa hili wameweka kanuni zitakazoua hii tasnia ya television. Hapa ndipo tulipojikwaa, kwengine kote huko ni tulipoangukia.
 
Labda mie sijaelewa vizuri, sio kwamba TCRA wanataka chanel ya bure iwe TBC 1 peke yake, na zingine kama ITV, Channel 10, n.k tulipie.
Dstv kwangu inaonesha Channel 10 bure, kama sikosei.
Mimi DSTV wanaonyesha TBCCM bure
 
Nina madishi matatu juu ya paa, sasa natafuta la futi nane naweka pembeni, HATUSHIIIIINDWIIII.
Wasiojua mambo haya watapigwa pesa sana mi nipo hapa naenjoy Channel zooooooooote za ndani.... wenye DSTV, ZUKU na AZAM subirini kupigwa pesa na mafundi
 
Tatizo kubwa ni tcra kuweka sheria, kanuni na leseni za kipuuzi ambazo hazina tija kwenye biashara hii ya kurusha matangazo ya tv. Wameweka utaratibu mbovu ambao haiwez kumnufaisha yyt kati ya mmiliki wa tv (mfn ITV) na mmilikii wa king'amuzi (mfn DStv).
Tatizo kubwa lilianza pale kwa TCRA walipotaka kujikomba kwa wananchi kwa kutaka kuwa na channel za kuonyeshwa bure wakat hizo channel hizo ziko kibiashara. Hapa ndipo kiini cha huu mkanganyiko wote. Hili likapelekea kuja kwa kwanuni na leseni za kijinga ambazo zinawaumiza wenye channel na wenye ving'amuzi. Channel iliyotakiwa kuonyeshwa bure ni moja tu TBC1 ambayo haijiendeshi kibiashara. Hiki ni kilio cha mda mrf toka kwa wamiliki wa hiz channel na wamiliki wa ving'amuzi. TCRA wameharibu kabisa huu mfumo wa digital.
Mfano: ITV watapataje hela kama matangazo yake yanaonyeshwa bure Azam TV? Hapa ITV itamlazimu amlipe Azam TV kwasababu kampatia coverage ambaye itamsaidia yy itv kupata matangazo. Hapa ITV atakuwa anatoa hela yake mfukoni ili tu huyu mtanzania aangalie bure. Inshort hela ambayo mwananchi alitakiwa alipie king'amuzi italipwa na ITZ which is not right.

Biashara hii ya matangazo ya digital iko hivi:-
King'amuzi kinarusha channel then mteja analipia kuona hizo channel. Hapa sasa ndipo biashara inapoanza na ndipo TCRA anapo ingia kuharibu hii biashara.
1. ITV kama wana wateja wengi (coverage kubwa) basi DSTV atalazimika kumlipa itv kiasi fulan watakachokubaliana maana kamsaidia kumletea wateja ambao watanunua kinga'amuzi chake na walipie kila mwezi kuiona itv. Hapa hii hela iliyolipwa na wewe mteja ndio watakayogawana itv na dstv.
2. Kama itv hawana wateja wengi (coverage kubwa) basi itv watalazimika kumlipa dstv kias fulani watakachokubaliana maana atakuwa amesaidiwa kuongeza idadi ya wateja (coverage kubwa) hivyo kumuongezea idadi na thamani ya matangazo. Kiasi kidog cha faida anayopata itv kutoka kwny matangazo atampatia dst na kiasi kidogo kingine dstv anakipata toka kwa mteja aliyelipia king'amuzi. Kama itv itaonyeshwa bure basi yy itv atalazimika kulipa kiasi alichotakiwa kulipa mteja wake mana itv ndio atakayenufaika na uwepo wake ndani ya king'amuzi cha dstv.
Suala la channel za ndani kuwa bure halina tija kwny uzalishaji. Litaua ving'amuzi vya ndani na kuua hizi channel za ndani. Channel za ndani zotashindwa kuwalipa wnyw king'amuz ili channel zao zilionyeshwe bure, vivyo hivyo ving'amuz havitaweka channel hiz kwny ving'amuz vyao kama hawalipwi na mteja wala channel husika (itv). ITV atakosa coverage, hvyo atakosa hela ya matangazo atakufa. Mwenye king'amuzi atakosa channel kwny kinga'amuzi chake, hivyo atakosa wateja wa kunua king'amuzi chake na kukosa malipo ya kila mwezi ya vifurushi vyake, atakufa.

Hakuna bure duniani. TCRA kwa hili wameweka kanuni zitakazoua hii tasnia ya television. Hapa ndipo tulipojikwaa, kwengine kote huko ni tulipoangukia.
Mkuu wewe tulia, nunua Ting au Startimes au Continental au Digitek then kula local bure... kama wakibana waripoti TCRA nao wafungiwe halafu naamini kitaibuka king'amuzi kingine kinachotwa TCRA ambacho tutakula channels zoooote bure hadi za ulaya. Serikali ya awamu hii inakujali kupita unavyo jijali wewe.
 
Hivi zile antenna za zamani almaarufu Chadema siwezi kutumia kupata channel za ndani??
 
Hawamwezi kwa lolote DSTV. Yule ni mkaburu na British shareholders. Yatakuwa kama ya Acacia, hawawezi kufanya kitu kwa kulazimishwa na wajamaaa njaaa. Dunia ya sasa ivi ni ya malipo, lazima upate huduma kwa kulipia. Mbona Acacia wamewashindwa, kinachotokea hapa umesainishwa mikataba ya kinyonyaji lazima uitumikie na kama utaki unashitakiwa mahakama unalipa fidia zake za uwekezaji wake apa Tanzania
Pumba tupu, unapoingiza siasa kwenye masuala ya jamii.
 
Tunafanya maamuzi ya kuua local TV stations. Tutavuna tulichopanda muda si mrefu. Watu hawatahama DSTV kwa sababu ya sports na premium contents ambako pengine hakuna wakati huo FTA channels (biashara za Watanzania) zitakosa viewers walioko DSTV na nje ya taifa hili.
Hawajali hicho, nia ni kuibeba startimes isife, wanategemea startimes iuze vingamuzi na watu walipie, mimi nilikua natumia startimes, kifurushi kikiisha unakatiwa mpaka hizo local stations ukilalamika wanakupa majibu ya hovyo kama vile kuna tatizo tunashughulikia basi hawafanyi jitihada zozote kuzirudisha lakini ukilipia kifurushi unapata, nikalalamika tcra hawakuchukua hatua zozote hata baada ya kukumbusha mara kadhaa nikaachana nacho skuizi siangalii kabisa local chanels watoe tu hata tbc ya nini!
 
Azam local channels zinazoonekana tangu jana ni TBC, ZBC1 and 2 na Wasafi TV, the rest hazioneshi wanatoa message uwasiliane na service provider.
 
Nadhani ni issue ya leseni yao maana ving'amuzi vingine vimepewa leseni ya kuwataka kuonyesha "free to air" channels hata kama king'amuzi kitakata na DSTV yeye amepewa leseni inayowataka wasionyeshe "free to air" channel lakini yeye anazionyesha na pindi kifurushi kinapoisha na hizo channel nazo zinakata hivyo tafsiri hapo inaonekana ananufaika kibiashara na hizo channel na inamlazimisha mwenye DISH la DSTV kulipia tena ili aendelee kupata huduma ambazo kimsingi alitakiwa aangalie bure hivyo njia pekee abadilishe leseni yake ili aweze kuonyesha hizo channel kama wengine kwamba kifurushi kikikata ziendelee kuwepo kama wengine.

Ila nitafurahi kama TCRA wakija na kutoa tamko kwa ving'amuzi ambavyo bimepewa leseni ya kuonyesha hizo channel bure lakini hufika kipindi hukata na kujifanya unatakiwa ku-activate king'amuzi kwa kulipia

Labda ndo kulinda vya ndani na hasa Azam,Startime,Continental N.K maana Dstv nae anawakimbiza sana
 
Mwisho wa siku tutakaoumia ni sisi wananchi kwasababu tu ya masheria na makanuni ya ovyo.
 
Azam local channels zinazoonekana tangu jana ni TBC, ZBC1 and 2 na Wasafi TV, the rest hazioneshi wanatoa message uwasiliane na service provider.
ZBC1 na 2 sio tv za ndani hazipo chini ya TCRA....Wasafi bado ipo kwenye majaribio...siku nayo ikipewa leseni rasmi hutaiona.
 
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa Tangazo la kusudio la kusimamisha leseni zilizotolewa na TCRA kwa Kampuni za Multichoice Tanzania Ltd (Dstv) na Simbanet Tanzania Ltd (Zuku) kwa kushindwa kutekeleza amri halali za TCRA na kwa kushindwa kutekeleza masharti ya leseni ikiwa ni pamoja na kuendelea kubeba na kuonesha chaneli za televisheni zenye leseni za kutazamwa bila malipo kupitia ving'amuzi vyao.

View attachment 829013
View attachment 829082
Hili suala si la leo wala la jana, ni la siku nyingi tangu enzi za prof. Watu tulipiga kelele na kuwaandikia sana TCRA kwenye emails zao lakini wapi! Sisi wenye kuijua nchi hii na hasa hasa siku za nyuma, hatukushangaa. Ilifika wakati staff wa TCRA walikuwa wanagawa ving'amuzi bure kwa watu wao, unadhani walikuwa wanvitoa wapi kama si kupewa na hawa OPERATORS kama njia ya kuwafunga midomo na akili! Sasa kipindi hiki tutapona na kuepukana na manyanyaso ya hawa OPERATORS. Hili la hawa wa sauzi linanikumbusha alivyosema hayati Mwalimu Nyerere kuwa KABURU NI KABURU HATA AKIWA MWEUSI. Tafakari!
 
Tcra wanataka ninhi?
Lengo kuu la wao kukataza ni lipi?
TCRA wameuheshimu umma. Wanatushitakia juu ya Vituo vya luninga kukaidi kufuata sheria za Nchi. Nyie umma ndo muamue sasa, tuwaonyeshe Wasouth na Wakenya kuwa hii ni Tanzania ama tunywee na kuikomalia pekee TCRA kana kwamba Continental ama Digitek wanaweza kukaidi Sheria za Kenya na South.
 
Back
Top Bottom