Gagurito
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 5,600
- 804
- Thread starter
- #21
Upo sawa mkuu ila bado kuna utata hapa, kuna wakati mwingine huwa sipati majibu na huwa najiuliza sana. Hv tanzania ni kweli siasa ndio kikwazo kikubwa cha umasikini wetu? Je ni kweli wananchi wa tanzania tunafanyakazi ipasavyo? Nahisi kunahaja ya kujifanyia tathimini kwa kila mtu ilituwezekuwa na focus moja. Nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani ccm imechangia sisi kuwa hapa!Mwisho wa ccm, watanzania tutakuwa majuha na mabwege kama tutashindwa kuelewa hili genge la ccm limetuweka shimoni, giza totoro, huduma za jamii mbovu saaaaaaaaana, hiki chama kinatakiwa kufutika kama kanu. Hawawezi kufukuzana manake hakuna msafi jamani turudi kwenye list of shame aliyotoa dr slaaa. Shame on ccm, and all magamba