Patriote
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 1,718
- 1,047
Huu sasa uwendawazimu, CCM wameshashindwa vita dhidi ya ufisadi, watafute vita nyingine, tushachoshwa na maneno mengi ya wanaCCM kama Khanga. Hii vita waache ipiganwe na wenye nia ya dhati ya kuikwamua nchi kutoka kwa mafisadi wao waendelee tu na jitihada zao za kuhujumu nchi via ufisadi.Kuna taarifa kwamba Mukama amekutana na waandishi leo na amerudia tena taarifa yake kuhusu magamba na kuapa kwamba hakuna fisadi aliyesafishwa Dodoma na badala yake magazeti yamekua yakipotosha kwa maslahi yao.