Mukama asema mafisadi hawaponi ng'o! CCM yaunda kamati maalum

Kiranja

JF-Expert Member
May 19, 2007
751
336
Kuna taarifa kwamba Mukama amekutana na waandishi leo na amerudia tena taarifa yake kuhusu magamba na kuapa kwamba hakuna fisadi aliyesafishwa Dodoma na badala yake magazeti yamekua yakipotosha kwa maslahi yao.
 
Mbona mambo yanachanganya. Kila kukicha kuna matamko juu ya matamko!! Hivi Mukama amewataja hao mafisadi? Unajua CCM ni wajanja tunaweza tukawa tunadhani mafisadi wanaoongelewa ni akina ENL na EC tukashangaa wanaondolewa wengine kama Kilumbe Ng'enda!
 
Hao "wasanii" wanachosha kuwasikiliza. Hawana mpya kila kukicha ni kucheza na maneno tu!
 
Mbona mambo yanachanganya. Kila kukicha kuna matamko juu ya matamko!! Hivi Mukama amewataja hao mafisadi? Unajua CCM ni wajanja tunaweza tukawa tunadhani mafisadi wanaoongelewa ni akina ENL na EC tukashangaa wanaondolewa wengine kama Kilumbe Ng'enda!

Bora wangekaa kimya tu hao.
 
Kuna taarifa kwamba Mukama amekutana na waandishi leo na amerudia tena taarifa yake kuhusu magamba na kuapa kwamba hakuna fisadi aliyesafishwa Dodoma na badala yake magazeti yamekua yakipotosha kwa maslahi yao.

Ukipata uhakika kama amekutana na waandishi wa habari ndiyo naweza kukucomment.

Lakini kwa ufupi sana, saizi hakuna gamba tena CCM walikokuwa magamba saizi ni watakatifu wa watakatifu kabisa.
Picha ndiyo imekwisha na magamba aka mafisadi wanapeta mitaani na urais huo unakaribia mikononi mwa gamba moja.
 
Ni kweli ameongea na waandishi na amesema magazeti yamepotosha sana na mimi naongeza humu nako kuna watu wako kazini, duh!! Hadi raha maana unaona kama sinema vile
 
Kuna taarifa kwamba Mukama amekutana na waandishi leo na amerudia tena taarifa yake kuhusu magamba na kuapa kwamba hakuna fisadi aliyesafishwa Dodoma na badala yake magazeti yamekua yakipotosha kwa maslahi yao.

Yeye ndiye hatapona ngoja fisadi Lowasa aukwae uenyekiti, Mukama atatafuta pa kutokea
 
Nguvu ya UMMA pekee ndo itawamaliza mafisadi. Wasifikiri hatuwajui, tunawajua na jinsi gani wanavyofisidi mali za nchi hii. Kuna watu wanamiliki mali ambazo hawawezi kuzitolea maelekezo.

Mafisadi wanatumia pesa zao chafu kuwalainisha wanausalama, kuna habari nyeti kwa mfano kwamba maaskari wenye vyeo wametengenezewa massage parlour Upanga na Tanil yule fisadi mwenye kasri pale opposite na Harambee house. Kaajiri wasichana wa kichina wanaowachua hawa wazee walinda usalama wa taifa. Kwa hiyo na hawa waliopewa huduma na Tanil nao ni mafisadi, wakae wakijua kuwa siku jogoo akiwika saa sita usiku wa manane watakoma.
 
walikosa mabinti hadi wakawaweka wachina?
 
Sarakas za politicianz
Kuna taarifa kwamba Mukama amekutana na waandishi leo na amerudia tena taarifa yake kuhusu magamba na kuapa kwamba hakuna fisadi aliyesafishwa Dodoma na badala yake magazeti yamekua yakipotosha kwa maslahi yao.
 
..Chama kimepoteza umaarufu wake hivyo kutengeneza leo hili kesho lile ni kujaribu kurudisha umaarufu wake!
 
Mukama alikuwa anaongea kuifurahisha CCM gani leo? Kwa uelewa wangu wanachama wa CCM hawajawahi kukaa na kuwatuma viongozi wao kuwafukuza mafisadi. Hii ni vita ya viongozi wa CCM wanaopigania Urais 2015,hakuna zaidi ya hapo! Wanachama wa CCM ni watu wanaofurahia kutoa na kupokea rushwa kuanzia kubwa mpaka ndogo za kilo ya sukari,ubwabwa,chumvi,nk...
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Wakosi hawamjui mkosi na vikosi vya mikosi vyawaandama!
 
Kuna taarifa kwamba Mukama amekutana na waandishi leo na amerudia tena taarifa yake kuhusu magamba na kuapa kwamba hakuna fisadi aliyesafishwa Dodoma na badala yake magazeti yamekua yakipotosha kwa maslahi yao.
Kama magazeti yamekua yakipotosha kwa maslahi yao? Yeye Mukama anasema nini kama sio maigizo tu kila siku? Atamke wazi wazi kuwa mafasadi watakao ngolewa CCM ni hawa.

Dr Slaa alishawapa list ya kufanyia kazi. Lakini CCM wao hawajawahi kukanusha hata siku moja kama ile list ni sahihi au la. Sasa sisi wananchi tuchojua ni ile list ya Dr Slaa ambao hata Lowasa alikubali kwenye kikao cha NEC ya CCM kuwa hiyo list ipo. Sasa MUKAMA yeye anaongelea mafisadi wepi??

Awe wazi bwana.
 
Back
Top Bottom