Kivumah
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,428
- 1,050
SAM LOCE EFE (1945 - 2011)
Actor na Comedian maarufu toka Nollywood nchini Nigeria,Sam Loco Efe,amefariki dunia....
Mzee Sam alikua na miaka 66,alifariki dunia akiwa chumbani kwenye hoteli yake iitwayo Rapour Hotel iliyopo pande za Owerri,kwenye jimbo la Imo muda mfupi baada ya kutoka location na alijipatia umaarufu kuanzia mwaka 1968,alipoanzisha Overamwen National Theatre Group Benin, Edo hometown kwake Edo StateActor na Comedian maarufu toka Nollywood nchini Nigeria,Sam Loco Efe,amefariki dunia....
source: chini ya carpet blog