Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,045
- 10,329
Watanzania tulivyo wajinga mtu kuletewa Umeme na serikali na waziri anakwambia nimekuletea umeme unaona Kama ni privilege kumbe ndio kazi ya serikali wala huna haja ya kushukuru ni haki yako Si unalipa kodi? Hii nchi Ina makondoo wengi Sana. Tunayofanyiwa na serikali hayafiki hata robo ya mambo wanayopaswa kuyafanya kwa Maendeleo ya nchi na wananchi