Muhimbili wamgomea Kigwangala

Mbona anajiita hamis ?

Ndio hao Kainerugaba Msemakweli aliwataja kama "MAFISADI WA ELIMU".

Watu.wanaanza kukataana,ipo siku tutajiwa nani alitumwa na nani kumpiga risasi Tundu Lissu,yalipo makaburi ya Ben Saanane, Azori Gwanda na wengineo.
 
Walichofanya Muhimbili kumjibu Kigwangalla nimefurahi

Pamoja na kwamba huyu Hamis sijawahi kumkubali ila majibu haya ya Muhimbili hayaridhishi.

Wanataka kutuambia kuwa zile mashine zipo pale kama sehemu ya utafiti? Je taratibu za kufanya tafiti zimefuatwa, ikiwemo kuwajulisha watumiaji kuwa ule ni utafiti? Je watumiaji wameonywa kuwa inawezekana utafiti ule unaweza kuwa na MATOKEO HASI kwenye afya zao?

Approach ya Serikali imefanya dawa za asili zionekane kama uchawi au uganga wa kienyeji. Tuki adopt taratibu sahihi, tunaweza kuziinua hizi dawa zetu kama ambavyo ni matamanio yetu wote.
 
Hata hizo chanjo wanazoleta zipo kwenye utafiti, hazijawahi kutumika kabla..

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom