Muhidin Gurumo (aliyekuwa Msondo Ngoma) afariki dunia!

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,710
22,775
Mwanamuziki nguli wa muziki wa dansi nchini na afrika mashariki Gurumo afariki dunia,.


Pole ziwafikie wapenzi wote na mashabiki!!


R.I.P Gurumo.


attachment.php
 
Mzee wetu Muhudin Gurumo ametutoka leo saa nane mchana,
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1397396678111.jpg
    uploadfromtaptalk1397396678111.jpg
    82.2 KB · Views: 19,774
Mungu ailaze roho yake pema peponi,
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1397396735641.jpg
    uploadfromtaptalk1397396735641.jpg
    69.2 KB · Views: 1,259
Habari za hivi punde zinasema kuwa Nguli wa mziki wa bance Mzee wetu Muhidim Ngurumo amefariki dunia mchana siku hii ya leo.
Chanzo.Uhuru Fm
 
Kwa kumuomboleza Mzee Gurumo nitakesha kwa kuzipiga nyimbo zake kuanzia Nuta jazz,Juwata,Ottu,Sikinde ,OSS ,hakuna kulala,RIP gwiji la muziki Tanzania
 
Inna LiLaah Waina iLLAihi Rajioun ..........OOh very sad ! si hivi juzi aliStaafu usanii huu !!
Mungu amlaze pema POLENI wafiwa. amin
 
Habari nilizozipata sasa hivi kupitia whatsapp ni kuwa Muhdin Ngurumo amefariki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom