Mugabe kufa na kufufuka

sakapal

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,804
1,424
Hivi huyu mugabe kumdhihaki yesu kwamba amekufa na kufufuka zaidi yake yuko sawa kweli au uzee unamnyemelea?
Kama kuzimia na kuzinduka ni sawa na kufa na kufufuka wewe ushawahi kufa na kufufuka mara ngapi? Mi naogopa ati maana yesu hataniwi akirusha konzi lake wewe mojakwa moja wala huiti mama lol
 
Huyu mzee atakufa kifo kibaya sana , yaani bado anakufuru na hali mbaya anayokuwa nayo.... mi nilidhani shsteni akiwa mzee anajifanya malaika ili azeeeke vizuri, shauri yake.
 
Joke yako siielewi sakapal kwa sababu maneno alosema Mugabe siyajui. Ungenisaidia sana kama ungeanza na maneno ya Mugabe ili niweze kuamua kiasi gani kamdhihaki Yesu. Ubarikiwe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom