Mugabe aagiza polisi kuwakamata wanamichezo waliochemsha Olympic Brazil

Huyu mzee uzee umemjia vibaya sana, ni wakati wa yeye kupunguza maneno/kuongea sana, kwa umri wake kuongea kila jambo kunampelekea kuongea upuuzi kwa kuwa umri umemaliza kumbukumbu ya kufikiri. Eti panya, yeye awe wa kwanza kuadhibiwa kwa kuruhusu panya kubeba bendera ya nchi take.
 
Afadhali sana next time watafanya mazoezi na jitihada ili kuleta sifa kwenye taifa lao,kama huwezi kaa nyumbani msaidie mkeo kupika sio kututia aibu,mi natamani na huku ije hii kitu,sometime viboko vinasaidia kumnyoosha mwanafunzi.
 
Hao ndo viongoz .....hakuna masihara na Pesa ya nchi ...watu 31 mmoja ndo nafasi 8 ....cheerleaders n tourist must pay back money .....
Kwani Zimbabwe kiuchumi inashika nafasi ya ngapi? Mbona viongozi wao hawakamatwi si wanachezea pesa ya nchi?
 
eti beautifully girls na handsome guys from Universities., Sasa hii ni sawa na kusema zimbabwe itakuwa shida kijana kujitokeza kwenye michezo katika uhai wa rais Mugabe, na hawo wachezaji ni vyema wabaki huko huko wasirudie tena Zimbabwe watafute ukimbizi kuliko jela
 
Back
Top Bottom