Mugabe aagiza polisi kuwakamata wanamichezo waliochemsha Olympic Brazil

kizeze

JF-Expert Member
Sep 25, 2012
300
320
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amemwagiza mkuu wa Polisi wa nchi hiyo Augustine Chihuri kuwakamata wachezaji wote wa timu iliyokwenda inchini Brazil kwenye mashindano ya Olympic mara tu watakapokanyaga kwenye ardhi ya uwanja wa ndege wa Harare.

Zimbabwe ni miongoni mwa mataifa ambayo wanamichezo wake hawakufanikiwa kushinda medali ikiwa inawakilishwa na wanamichezo 31. Mchezaji ambaye alionekana kufanya vizuri ni yule aliyekamata nafasi ya nane

Mugabe amemwambia mkuu huyo wa polisi kuwakamata wanamichezo hao: Tumepoteza pesa za taifa kwa ajili ya hao panya tunaowaita wanamichezo. Kama hauko tayari kujitoa na kushinda japo medali ya shaba kama wenzetu wa Botswana walivyofanya, sasa kwanini ulienda kupoteza pesa zetu” alisema.

Kama tulihitaji watu kwenda Brazil kuimba wimbo wetu wa taifa na kupeperusha bendera, tungewaagiza warembo na vijana watanashati kutoka Chuo Kikuu cha Zimbabwe wakatuwakilishe.

Akaongeza kwamba, pesa iliyowekezwa kwenye timu ili kuiwakilisha inchi ingeweza kutumiwa kununulia dawa na kujenga shule. Jambo hili ni sawa na mwanaume asiyelijali kuoa wanawake watano, maana yake nini? Nitahakikisha tunagawana hasara, wote watailipa serikali bila kujali hata kama itachukua miaka 10, sasa pesa hizo zinabadilika na kuwa mkopo tuliowapa kwenda Brazil kama watalii, hawana faida” akamaliza.
==================

Zimbabwean President, Robert Mugabe instructed the Commissioner General of Zimbabwe Police Republic, Augustine Chihuri to arrest and detain the whole Zimbabwean Olympic Team members immediately they arrived the Harare International Airport on Tuesday, August 23.

Zimbabwe which is one of the countries in the Olympics without a medal presented a team of 31 athletes. The closest any of the athletes came to win a contest was at the 8th position.

Mr. Mugabe who is incensed with the team’s performance told the Police Chief to arrest all the team members and detain them.

“We have wasted the country’s money on these rats we call athletes. If you are not ready to sacrifice and win even copper or brass medals (referring the 4th and 5th positions) as our neighbors Botswana did, then why do you go to waste our money” he said.

”If we needed people to just go to Brazil to sing our national anthem and hoist our flag, we would have sent some of the beautiful girls and handsome guys from University of Zimbabwe to represent us.”

He added that, the money invested in the team to represent the country could have been used to provide amenities and build schools.

“This situation is like an impotent man who is married to five women, what is the essence? I will make sure we share the cost across board for all of them to pay back to government chest even if it takes 10 years to recoup, now it turns out to be a soft loan we have given them to go and visit Brazil as tourist, they are useless” he concluded.

Chanzo: pmnewsnigeria
 
Hao ndo viongoz .....hakuna masihara na Pesa ya nchi ...watu 31 mmoja ndo nafasi 8 ....cheerleaders n tourist must pay back money .....
 
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amemwagiza mkuu wa Polisi wan chi hiyo Augustine Chihuri kuwakamata wachezaji wote wa timu iliyokwenda inchini Brazil kwenye mashindano ya Olympic mara tu watakapokanyaga kwenye ardhi ya uwanja wa ndege wa Harare.

Zimbabwe ni miongoni mwa mataifa ambayo wanamichezo wake hawakufanikiwa kushinda medali ikiwa inawakilishwa na wanamichezo 31. Mchezaji ambaye alionekana kufanya vizuri ni yule aliyekamata nafasi ya nane

Mugabe amemwambia mkuu huyo wa polisi kuwakamata wanamichezo hao: Tumepoteza pesa za taifa kwa ajili ya hao panya tunaowaita wanamichezo. Kama hauko tayari kujitoa na kushinda japo medali ya shaba kama wenzetu wa Botswana walivyofanya, sasa kwanini ulienda kupoteza pesa zetu” alisema.

Kama tulihitaji watu kwenda Brazil kuimba wimbo wetu wa taifa na kupeperusha bendera, tungewaagiza warembo na vijana watanashati kutoka Chuo Kikuu cha Zimbabwe wakatuwakilishe.

Akaongeza kwamba, pesa iliyowekezwa kwenye timu ili kuiwakilisha inchi ingeweza kutumiwa kununulia dawa na kujenga shule. Jambo hili ni sawa na mwanaume asiyelijali kuoa wanawake watano, maana yake nini? Nitahakikisha tunagawana hasara, wote watailipa serikali bila kujali hata kama itachukua miaka 10, sasa pesa hizo zinabadilika na kuwa mkopo tuliowapa kwenda Brazil kama watalii, hawana faida” akamaliza.
Nipe source, nimeipenda nataka kushare.
 
Mimi naona sawa tu. Kama nikupeperusha bendera ya Zimbabwe wangepeleka vijana watanashati wa chuo kikuu cha harare hahshahahahaha. Panya mnajiita wana michezo!
 
Attachments

  • 1472094482366.jpg
    1472094482366.jpg
    84.2 KB · Views: 59
Wanamichezo wa hapa kwetu wao wana sababu yao ya siku zote,utasikia "HATUKUWA NA MAANDALIZI YAKUTOSHA"

Sasa mlienda kufanyaje?

Hawa wa kwetu pia wawe wanakopeshwa tu.
 
Back
Top Bottom