jamani ee tusilikuze ili jambo maana wenyewe wenye kulianzisha au wali ona kwamba litawafaidisha wameisha elewa halita wasaidia, sasna sana wataanza kuchinjana wenyewe, maana wao ndio wenye silaha na mapesa, kama watakuwa wagombania ndege kutoroka ni wao wenyewe, kikwete na msekwa, malecela na makamba, mwamunyange na shombo, Mstaarabu Saidi mwemba na Mstaarabu Mnumba, jaji Mkuu na jaji kiongozi, na sisi huku mtaani Londo na Mwakyusa, siju Iddi mzungu na Peter kabisa, kwa kweli hato pona mtu na hizi mali tulizo iba tutamwachia nani? labda atakaye pona ni Lowasa na Rostam kwenye mahandaki yao