Mubarak's out

Iko siku Saudia nao watasema basi

Labda uende bila hela....unajua nusu tani ya gold thaamani yake?

composite.jpg
 
Kuna hatari kubwa endapo Misri kuangukia mikononi mwa Muslim Brotherhood. Chama ambacho kitailetea maafa Misri kuliko maendeleo.
Maana hawa Muslim Brotherhood hawana tofauti na Hamas au Al-Qaeda, wanachojua ni kujilipua tu na kuwa na ''illusion'' kuwa ipo siku wataipiga Israeli na kuiangamiza.
Kama ndivyo basi we are likely to see a new Misri ikiongozwa na chama chenye msimamo mkali
 
Viongozi wa Africa amkeni na kutetea maslahi ya wananchi wenu, angalia sasa yaliyomkuta Hosni Mubarak ni aibu tupu, wachana na nguvu ya uma bwana!
Na alichoharibu zaidi ni pale alipokuwa anajaribu kumuandaa mtoto wake ili ashike madaraka baada ya yeye kustaafu
 
Back
Top Bottom