Sijawahi kuona Magaidi wanatumia Wanawake na Watoto kama Ngao ya kujilinda. Hamas siyo Magaidi

Hamas sio Magaidi ni freedom fighters, imawezekana njia wanazotumia sio sahihi Ila sio Ugaidi.

Gaidi lengo lake ni kutia Hofu ila Hamas lengo lao ni specific kuondoa wavamizi kwenye Nchi yao.

Hamas ni Kama Taliban, wapo specific maeneo yao na hawana Time na maeneo mengine tofauti na Vikundi kama Isis ama Al Qaeda.
 
Hata Hamza wa Selender bridge baada ya Kufanya yake akasimama hadharani na kusema niuweni

Al Qaida walipambana hadi tone la mwisho bila kuihusisha raia wasio na hatia

Kwa Uwoga wanaoonesha itoshe kusema Hamas siyo Magaidi

Jumaa Mubarak 😀
Kwa hiyo hilo moja tu la kupambana wakiwa nyuma ya mawowowo ya akina mama ndiyo inawasafisha ugsidi wao?Vipi kuhusu kuvamia walivyofanya ndani ya Israel na kuua watu hovyohovyo?Vipi kuhusu kurusha maroketi shaghalabaghala kuelekea makazi ya Wayahudi?
 
Wewe mwenyewe umesema waliua Hovyo Hovyo

Gaidi huwa hafanyi mambo Hovyo Hovyo
 
Isis ama Al Qaeda.
Screenshot_20231108-213027.png
 
Hata Hamza wa Selender bridge baada ya Kufanya yake akasimama hadharani na kusema niuweni

Al Qaida walipambana hadi tone la mwisho bila kuihusisha raia wasio na hatia

Kwa Uwoga wanaoonesha itoshe kusema Hamas siyo Magaidi

Jumaa Mubarak 😀
hamas ndio wa kwanza. na huko mafichoni hawana wanawake, aidha wanashikana kalio wao kwa wao au hao mateka ni chakula. mashetani kabisa hao.
 
Hayo waache wa define wenyewe....vyuma vinawahusu. Ukilea wahuni kwenye nchi yako hakuna namna lazima ikugharimu
 
Hata Hamza wa Selender bridge baada ya Kufanya yake akasimama hadharani na kusema niuweni

Al Qaida walipambana hadi tone la mwisho bila kuihusisha raia wasio na hatia

Kwa Uwoga wanaoonesha itoshe kusema Hamas siyo Magaidi

Jumaa Mubarak 😀
Basi Hamas ni madem zako labda😂
 
Hamas sio Magaidi ni freedom fighters, imawezekana njia wanazotumia sio sahihi Ila sio Ugaidi.

Gaidi lengo lake ni kutia Hofu ila Hamas lengo lao ni specific kuondoa wavamizi kwenye Nchi yao.

Hamas ni Kama Taliban, wapo specific maeneo yao na hawana Time na maeneo mengine tofauti na Vikundi kama Isis ama Al Qaeda.
Hivi hao ISIS, Bocco Haram, Al Shabaab nk si ni wanamigambo wanaopigania uislam.

Kwanini hawajajitokeza kwenda kuwaunga mkono Hamas kupambana na mayahudi?

Badala yake wanaendelea kuchinja wakulima mashambani ambao ni un armed?
 
Hata Hamza wa Selender bridge baada ya Kufanya yake akasimama hadharani na kusema niuweni

Al Qaida walipambana hadi tone la mwisho bila kuihusisha raia wasio na hatia

Kwa Uwoga wanaoonesha itoshe kusema Hamas siyo Magaidi

Jumaa Mubarak 😀
Jo natamani japo unglamorous unaaa wa beberu America na washirika wake aliowaibia ubongo who ulaya,ungejua kama hata huyo ni bora mara nyingi sana kuliko hao wanaaa🤪
 
Wewe mwenyewe umesema waliua Hovyo Hovyo

Gaidi huwa hafanyi mambo Hovyo Hovyo
Kama siyo magaidi kwanini hao Hamas wasingetangaza vita km Israel alivyofanya?
Hamas ni magaidi, huwezi kuvamia raia ukaua na kuchukua mateka. Angetangaza vita
Kwanini wamejificha kwenye misikiti, mahandaki na kwenye makazi ya watu?
Hamas ni magaidi
 
Hivi hao ISIS, Bocco Haram, Al Shabaab nk si ni wanamigambo wanaopigania uislam.

Kwanini hawajajitokeza kwenda kuwaunga mkono Hamas kupambana na mayahudi?

Badala yake wanaendelea kuchinja wakulima mashambani ambao ni un armed?
Hawapigani kwa ajili ya uisilamu bali wanapigana na waisilamu,

Hizi ni sifa za vikundi vya Kigaidi zinafanana
1. Wanapatikana Nchi za kiisilamu
2. Wanaua waisilamu zaidi
3. Hawachukui Nchi ila wana hakikisha hilo eneo Amani haipatikani.
4. Wanatibiwa Israel ama Nchi nyengine kubwa viongozi wao wakiumia
5. Wana Silaha za kisasa za Marekani ambazo hata Majeshi mengi hawana
6. Magaidi wapo Nchi zenye Rasilimali tu, Ukigundua tu mafuta fasta wanafika. Etc

Hayo makundi yote ni mkono wa tatu wa Usa kupambana na maadui zake, Al Qaeda kapigana na Mrusi Afghanistan, Isis wanapigana na Washia na Makundi mengine yanayosuport Iran, Boko Haram Kawa checkpoint Nigeria na Mafuta yao, Al Qaeda wa West Africa walikua na interest na Mfaransa, Al Shabaab wapo kwenye Mafuta tu Ukanda wetu etc.

Hii video nimeipost juu naipost tena kwako, Mkuu wa Zamani wa MOSSAD kwa mdomo wake anakubali kuwatibu Al Nusra Branch ya Al Qaeda Syria

View: https://m.youtube.com/watch?v=vweHtxqnh-Y
 
Kama siyo magaidi kwanini hao Hamas wasingetangaza vita km Israel alivyofanya?
Hamas ni magaidi, huwezi kuvamia raia ukaua na kuchukua mateka. Angetangaza vita
Kwanini wamejificha kwenye misikiti, mahandaki na kwenye makazi ya watu?
Hamaw ni magaidi
Mada nzito kushinda akili yako, define Gaidi.
 
Hata Hamza wa Selender bridge baada ya Kufanya yake akasimama hadharani na kusema niuweni

Al Qaida walipambana hadi tone la mwisho bila kuihusisha raia wasio na hatia

Kwa Uwoga wanaoonesha itoshe kusema Hamas siyo Magaidi

Jumaa Mubarak 😀
Kwa hiyo wanatumia watoto na wanawake ngao yakija mabomu wanafa watoto wao wanapona?

Akili za kishoga kweli hivi huko shule uwa mnaenda kusoma ujinga.

Yaaan kombora linachagua linaiwa watoto na wanawake linaacha Hamas?
 
Back
Top Bottom