kila mara wanaonesha misururu ya watu wengi kwenye barabara za kuingia liberation sqaure wakidai "thousands waiting to pass security checks to enter libearation square'. Ina maana polisi/jeshi wanakagua watu kabla ya kuingia? kama hivyo basi nawavulia kofia
Makamu wa rais amesema "We will not use force but we will ask them to go home and ask their parents to ask them to come home" Christiana Amanpour akamwambia "But both the young people and their parents are at the square"
If Mubarak survives today's demand for his departure, he will survive anything. Sijui wale polisi waliojigeuza waandamanaji wanaomuunga mkono jana wametokomea wapi leo.
If Mubarak survives today's demand for his departure, he will survive anything. Sijui wale polisi waliojigeuza waandamanaji wanaomuunga mkono jana wametokomea wapi leo.
CNN imeongea na Prime Minster most likely Mubarak atakuwepo mpaka uchaguzi utakapofanyika. Kwa ufupi Mubarak bado ataendelea kuiongoza Egypt according to the Prime Minster wa Egypt