Mubarak na Mkewe Kusalimisha Mali zao na Kuomba Msamaha -tunajifunza Nini?

August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
8,399
4,063
Mubarak's wife released after assets handover

By Middle East correspondent Anne Barker, wires
Updated Wed May 18, 2011 12:49am AEST
Hosni Mubarak fell from grace on February 11, after 18 days of nationwide protests. (Reuters: Jason Reed)


The wife of former Egyptian president Hosni Mubarak has been released from custody after handing her financial assets to the state.
The couple made offers to hand over their assets in a bid to secure amnesty from prosecution on charges of corruption and the illegal acquisition of wealth.
Both were in custody in hospital on the Sinai Peninsula after each reportedly suffered a heart attack.
But Suzanne Mubarak has now been released after she handed over the equivalent of $4 million, as well as agreeing to sell a luxury villa in Cairo.
The case against her is still ongoing, however she does not need to be in detention because she relinquished her assets to the state.
A judicial source said earlier she would be released after posting bail, but the graft body said there was no bail.
Mr Mubarak has also offered to hand over his financial assets.
The 83-year-old is being investigated for abuse of power, embezzlement and responsibility for the deaths of protesters during the 18 days of unrest that led to his overthrow on February 11.
He is still in detention, while his sons, Alaa and Gamal, are being held in Cairo's Tora prison on fraud charges.
Egyptian newspapers say he is drafting a letter for broadcast on television to apologise for any offence caused to the Egyptian people.
The Mubaraks' fall from grace came on February 11, after 18 days of nationwide protests against the president's three-decade rule.
- ABC/Reuters
 
Mubarak na Mkewe Kusalimisha Mali zao na Kuomba Msamaha -tunajifunza Nini?

Tunajifunza kwamba "cheo ni dhamana" na kiongozi yeyote anayefikiri nchi ni yake atakuja kukiona chamoto kwasababu wenye nchi watakuja kuichukua nchi yao siku moja.
 
Tunajifunza kwamba "cheo ni dhamana" na kiongozi yeyote anayefikiri nchi ni yake atakuja kukiona chamoto kwasababu wenye nchi watakuja kuichukua nchi yao siku moja.

Chamoto naona umehit penyewe kabisa. Inaudhi kuliko maelezo kwamba kuna baadhi ya marais wanaona kama nchi wanazoziongoza ni mali yao. Maamuzi wanayoyafanya unashangaa kama kweli wanakumbuka nchi ni mali ya wananchi na si wao na familia zao. Namwomba Mungu wajifunze kupitia hili la Mubarak na familia yake.
 
Tunajifunza kwamba "cheo ni dhamana" na kiongozi yeyote anayefikiri nchi ni yake atakuja kukiona chamoto kwasababu wenye nchi watakuja kuichukua nchi yao siku moja.

Tumejifunza kwamba kumbe hata mapacha watatu wakitaka amani wanaweza kuipata kwa kusalimisha mali walizowaibia watanzania.
 
Tumejifunza kwamba kumbe hata mapacha watatu wakitaka amani wanaweza kuipata kwa kusalimisha mali walizowaibia watanzania.

ever heard of presumption of innocence?

kwa nafasi yako unazungumza kama vile mtu ambaye si msomi

hakuna mahakama iliyowahukumu the so called mapacha 3 kuwa wameiba pesa.

Tatizo lako you are part of the broken system ambayo iko bize kuwa fanya wananchi wajinga kila kukicha
 
tumejifunza kuwa kumbe sheria zimewekwa kwa watu masikini tu na wasio na vyeo, matajiri na wenye vyeo wakiiba wanaambiwa warudishe na waombe radhi wakati masikini na wasio na vyeo wakiiba wanafungwa!!

yale yaleee ya JK na EPA!!
 
Tunajifunza kwamba "cheo ni dhamana" na kiongozi yeyote anayefikiri nchi ni yake atakuja kukiona chamoto kwasababu wenye nchi watakuja kuichukua nchi yao siku moja.
Kila kiumbe chenye uhai (Mwanadamu) ana nafasi moja tu ya kufanya toba na kusahihisha makosa kabla ya mauti, tatizo letu wengi ni kugundua na kuitumia nafasi hiyo.
 
ever heard of presumption of innocence?

kwa nafasi yako unazungumza kama vile mtu ambaye si msomi

hakuna mahakama iliyowahukumu the so called mapacha 3 kuwa wameiba pesa.

Tatizo lako you are part of the broken system ambayo iko bize kuwa fanya wananchi wajinga kila kukicha


Hivi unadhani hata hao akina Mubarak wametiwa hatiani? Walikuwa wanahojiwa and in the process ndiyo wakaamua kufanya hiyo plea bargaining. Kama wewe unasubiri conviction mahakamani basi subiri sana. Kama leo hii mijizi kama Mahalu yanapata sympathisers unategemea nini kwa hawa watu ambao system yote ni yao? Huu ndiyo mgando tunaoukataa. Hatuna shughuli ya kuanza kukimbizana na judgment mahakamani kwa vitu vilivyo wazi. Mbona hiyo hukumu ya ICC iliyomtaja Rostam na Dowans hamuiheshimu na bado mnadai Rostam siye mmiliki? Tuondoleeni upuuzi hapa!
 
17 May 2011 Last updated at 09:15 ET
Egypt's Suzanne Mubarak freed after handing over assets
_52704821_suzannemubarak.jpg

Suzanne Mubarak is recovering after falling ill when told she was being detained on Friday

The wife of ousted Egyptian President Hosni Mubarak, who was being held on corruption charges, has been released on bail after handing over assets.

Suzanne Mubarak turned over a villa in a Cairo suburb and $3m (£1.9m) held in bank accounts in Egypt, officials said.
The Mubaraks face allegations of illegally acquiring wealth while they were in power for 30 years.
Mr Mubarak - who was ousted in February - is also accused of involvement in the killings of anti-regime protesters.
The couple's two sons, Alaa and Gamal, are meanwhile being held in Cairo's Tora prison on fraud charges.
'Idea of revenge'
On Tuesday afternoon, officials said Egypt's prosecutor general had ordered Mrs Mubarak to be released from custody on bail. He did not give the amount of bail requested.
"The case into the illegal acquisition of wealth is still ongoing, however the wife of the former president does not need to be in detention because she relinquished her assets to the state," one source told the AFP news agency.
Suzanne Mubarak

  • Born 28 February 1941
  • Studied politics and sociology at the American University of Cairo
  • First Lady of Egypt from 1981 until 2011
  • Seen as driving force behind plans for her son Gamal to succeed father as president
  • Interrogated about a luxury villa she owns in Cairo, as well as $3m bank account
  • Ms Mubarak is half-Welsh, her mother Lily having grown up in Pontypridd
  • Patron of children's TV show Alam Simsim, Egypt's version of Sesame Street
The 70 year old gave three powers of attorney to the head of the Illicit Gains Authority, authorising him to withdraw up to 20m Egyptian pounds ($3.37m) from accounts at two banks and to sell a luxury villa she owns in the Cairo suburb of Heliopolis.

She had earlier denied charges that she abused her husband's influence for unlawful personal gain
The Mubaraks were both being detained at a hospital in the Red Sea resort of Sharm el-Sheikh.

The former first lady is recovering after falling ill when told she was being detained by the Illicit Gains Authority on Friday. Initial reports said she suffered a heart attack but some officials say it was a "panic attack".
Reformers in Egypt believe the Mubarak family accumulated a fortune worth tens of billions of dollars while in power.

Mr Mubarak, 83, has denied this, and little hard evidence has yet been made public. However their bank accounts in Cairo and in Switzerland have been frozen.

Many Egyptians also believe the former first lady was instrumental in pushing for her younger son, Gamal, to succeed his father - one of the grievances that mobilised opposition protesters.
 
na sisi mama MKAPA na SITTI MWINYI warudishe walichoiba kwa wa tz huku salma k akichunguzwa
 
Tz ni politic tu, wacha tuendelee kulala, iwe jioni iwe asubuhi siku ya pili, siku ziende mbele lakini hakuna cha maana
 
Tz ni politic tu, wacha tuendelee kulala, iwe jioni iwe asubuhi siku ya pili, siku ziende mbele lakini hakuna cha maana

Mkuu bado tunawalia timing, watanaswa tu hawawezi kukwepa miaka yote, kama si leo basi kesho na kama si kesho basi keshokutwa. Na kama si mimi na wewe basi watoto wetu au hata wajukuu wetu. Cha msingi ni kuendelea kujipanga na kutega mitego ya kutosha kuwanasa hawa wanasiasa/viongozi walafi!
 
Mke wa rais aliyeondolewa madarakani wa Misri Hosni Mubarak, aliyekuwa akishikiliwa kwa makosa ya ulaji rushwa, ameachiwa kwa dhamana baada ya kukabidhi mali zake.

Maafisa walisema Suzanne Mubarak alikabidhi nyumba ya kifahari iliyopo kwenye kitongoji cha mjini Cairo na fedha zenye thamani ya dola za kimarekani milioni 3 zilizoshikiliwa kwenye akaunti mbalimbali za benki nchini Misri.

Familia ya Bw Mubarak inakabiliwa na madai ya "kupata mali kinyume cha sheria" wakati alipokuwa madarakani kwa miaka 30.

Bw Mubarak aliyeondoshwa madarakani mwezi Februari pia anashutumiwa kuhusika katika mauaji ya waandamanaji waliopinga uongozi wake.
Watoto wake wawili wa kiume, Alaa na Gamal, kwa sasa wanashikiliwa kwenye gereza la Tora kwa makosa ya udanganyifu

110517113104_hosni_mubarak_r_and_his_wife_suzanne__304x171_reuters.jpg


source: bbc
 
:A S 103:Hapo sawa kwani ameamua kujivua gamba
ila na wengine ma first red wetu wapate somo hapo; wanajifanya wajasiliamali kumbe wizi mtupu eg. mama chinga:pound:
 
Sasa angalia wenzetu, huyu Mubarak, pamoja na maovu yake yote, katika kipindi chake ameiinua na kuijenga sana Misri.

Ameanzisha vijiji vipya chungu nzima kuwapatia makao Wamisri, amefanya jangwa la Sinai kuzalisha machungwa na tomato baada ya kuvuta maji huko, amejenga Sharm al-Sheikh, sehemu inayosifiwa duniani kote kuwa mahali pa mapumziko ya watalii.

Ameufanya mji wa Cairo kuwa wa kisasa wenye barabara za juu, treni za ardhini na majengo ya kupendeza, ila makosa yake kidogo ni kufuata siasa za Marekani dhidi ya maslahi ya Waarabu, na hasa hasa kosa la kutodhibiti ukosefu wa kazi.

Wameamua kumfanya hivi, makosa yake hayalinganishwi hata kwa asilimia 1 na yale ya vibaraka wetu. Tena ukichanganya na yale mazuri aliyoyafanya........

Lini sisi tutafanya haya? Tatizo kubwa Bongo ni elimu na uelewa, watu wajinga sana.
 
Back
Top Bottom