samirnasri
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,388
- 213
Rais wa misri Hosni Mubaraka ameendelea kugoma kuachia madaraka na kudai kwamba ataendelea kuwepo madarakani hadi mwisho wa kipindi chake cha uongozi mwezi septemba mwaka huu. Mubarak amesema hayo jana katika hotuba yake kupitia televisheni ya taifa ambapo waandamanaji wengi waliamini angetangaza rasmi kuachia madaraka..