Rais wa zamani wa Misri yuko Kizimbani Kairo. Amefikishwa kwa machela na kuvalishwa nguo za wafungwa(Nyeupe) Yupo yeye, watoto wake wawili wa kiume na washtakiwa wengine wakubwa. Rais huyo wa zamani anaonekana amechoka ile mbaya na afya yake si nzuri kihivyo.