Ernest Da Vinci
Senior Member
- Dec 5, 2011
- 115
- 28
Jaman kama kuna mtu yyte alibahatka kusoma mtwara tech ktk kpndi hcho nadhan atanisom vema,pale viboko vsivyo na idadi ndo ilikuwa chakula,manyanyaso na uonevu ndo usiseme,nasikitika ile haiku2jenga bali kutupotezea mwelekeo wa kitaaluma,mifano nnayo mingi iliyotokana na hizo inhuman acts za walimu wa pale.Kama bado inaendelea nawaomba watu wa haki za binadamu waende wakajionee jinsi watu wanavyopotezewa future.Mwathirika