Mtwara: Mkuu wa Mkoa asema wanawake wa Mtwara wanaongoza kwa ubabe

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,054
49,743
Nawapa tahadhari na kuwakumbusha Wanaume dhaifu kama wa Dar,usije kurogwa kuoa Mke Mikoa ya Kusini,utakuwa Kila Mwezi unalalamika dawati la jinsia.

Ama laa hakikisha karate uko vizuri vinginevyo utakuja kuomba Ushauri jf.

Angalizo
Kusini ni Jamii za Matrineal So Watoto wanaitwa Kwa Majina ya upande wa Mwanamke.

===
Mkuu wa wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara Bi. Mariam Chaurembo amesema katika wilaya yake wanawake wanaongoza kuwa na tabia ya ubabe kwa waume zao na kuvunja ndoa kwao ni jambo la kawaida, huku wanaume wakidaiwa kufukuzwa katika nyumba zao.

Mkuu wa wilaya ya Nanyumbu Mariamu Chaurembo akiwa anazungumza na wakazi wa wilaya hiyo katika uzinduzi wa kampeni ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake na watoto amesema katika wilaya yake ndoa nyingi huvunjika na sio suala la ajabu katika jamii ya wakazi hao huku wanaume ndiyo wakitimuliwa na wake zao ambapo athari kubwa huwakuta watoto.

Wazee katika wilaya hiyo wanasema hali hiyo inatokana na mtindo wa kisasa wa kupeana zawadi kwenye sherehe zinazoitwa mpeni raha ambapo wengi uoana ili kupata zawadi na huacha waume zao ili waolewe na wanaume wengine kwa lengo la kupata tena zawadi.
 
Niliwai kwenda kusini, raha ni kidogo tuu ukigusa unapewa uno plus k mnato.

Kusini oye, nanyumbu oye, wanawake wababe oye
 
Mtoa mada kusema kwamba wadada wa kusini wako physical fit sio kweli, wengi ni waongeaji sana na wana ka uswahili fulani hivi kamechanganywa na ushamba, wanapenda mapenzi kuliko kazi na ni mabingwa wa kuchoma sindano za uzazi (hasa vibinti vidogo).

Basically wanawake wa huku hata kwa kuwaangalia tu wengi wana maumbo madogo madogo huo u physical fit wanautoa wapi. Mkuu ushawahi waona wadada wa kisukuma, kihaya, wahangaza au wanyakyusa
 
Mtoa mada kusema kwamba wadada wa kusini wako physical fit sio kweli,wengi ni waongeaji sana na wana ka uswahili flani hivi kamechanganywa na ushamba,wanapenda mapenzi kuliko kazi na ni mabingwa wa kuchoma sindano za uzazi (hasa vibinti vidogo).

Basically wanawake wa huku hata kwa kuwaangalia tu wengi wana maumbo madogo madogo huo u physical fit wanautoa wapi....Mkuu ushawahi waona wadada wa kisukuma,kihaya,wahangaza au wanyakyusa
Kwa hiyo unabishana na DC anayesema wanaume. Wanapigwa na ndio wamejaza kesi huko madawati ya jinsia?

Tusiandikie mate nenda kaoe utuletee mrejesho
 
Kwa hiyo unabishana na DC anayesema wanaume.wanapigwa na ndio wamejaza kesi huko madawati ya jinsia?

Tusiandikie mate nenda kaoe utuletee mrejesho
Who is DC? sie tunaongea kutokana na uzoefu na mm naishi huku huku huu mwaka wa 3 sasa,na nature ya kazi yangu nakua vijijini mara kwa mara so nachokisema nna uhakika nacho mkuu
 
Nawapa tahadhari na kuwakumbusha Wanaume dhaifu kama wa Dar,usije kurogwa kuoa Mke Mikoa ya Kusini,utakuwa Kila Mwezi unalalamika dawati la jinsia.

Ama laa hakikisha karate uko vizuri vinginevyo utakuja kuomba Ushauri jf.

Angalizo
Kusini ni Jamii za Matrineal So Watoto wanaitwa Kwa Majina ya upande wa Mwanamke.

View attachment 2699488
Ndo yale madem hayana hata romance sijui denda, kuzama chumvini sijui kupima oil kumwandaa hawana.

Yenyewe mkishakubaliana tu anakutupa kitandani na kuanza kugegedana. Ukimfikisha kileleni ni kukung'atang'ata tu na kukunyuka makonzi.

Madem wa kihadzabe ukiwafikisha kileleni wanaliaga kama kunguru.
 
Vibinti vya kusini swala la kuongea ndio wanaloliweza sio et awe na nguvu kumpiga mtu
Na huko kuongea ndo kunawakimbiza wanaume, maana inapokuja ligi ya maneno na mwanamke wanaume wengi wanalala mbele kusaka kituo kipya kwingineko, na uzuri swala la watoto wao haliwahusu maana kwa jamii hizo watoto ni wa mama.

Ni sawasawa na fisi dume, yeye hajishughulishi na ulinzi wa watoto hata kama watashambuliwa maana anajua watoto ni wa jike ya nini kuhangaika.​
 
Upo sahihi kabisa kaka,unakuta wanaumme wengi wanakimbia maneno na kuamua kuwaachia akina mama nyumba...Lakini kusema wanapigwa hapana.
 
Mikoa ya Lindi na Mtwara ukute mwanamke ana nguvu kiasi cha kumpiga mmewe!!! Labda Lindi na Mtwara ya Tarime huko lakini sio hii ninayoijua mimi

Wanawake wa maeneo hayo ni kuongea mwanaume hawezi kuweka Ligi ya kuongea na hao wanawake lazima ukimbie tu.
 
Back
Top Bottom