MTV MAMA: Namtupia lawama Madame Wema

Mbona Mara ya Kwanza Dai kuwa nominated MTV alikuwa na Wema na hakuambulia kitu?
 
Mbona Mara ya Kwanza Dai kuwa nominated MTV alikuwa na Wema na hakuambulia kitu?
Wema ndo alichangia kwa kiasi kikubwa Dai kuwa nominated wakati huo. Angeendelea nae ungekuta kwa sasa Diamond yuko Grammy.
 
Mengi yameongelewa kuhusu kukosa tuzo za MTV kwa wasanii wote waliokuwa nominated toka hapa nchini kwetu... teams zimetupiwa lawama za kutosha.... wasanii wametupiwa lawama pamoja na wadau wengine.

Kilichonishangaza ni watanzania wote kusahau uwepo na umuhimu wa Madame Wema kwenye suala la msanii kuchukua tuzo. Ndugu Lemutuz ambaye anaaminika kama watu wachache hapa nchini walio na FACTS alishawahi tamka kwamba Wema ndo mtanzania mwenye nyota ya kipekee.

Kila linalohusishwa nae hugeuka lulu. Ila nachukua nafasi hii kumtupia lawama kwa kutofanya uamuzi wa kuteua msanii wa kuchukua tuzo. Nina uhakika endapo madam angeelekeza nguvu angalau kwa msanii mmoja lazima tuzo ingepatikana. Kama kuna kitu tulimkwaza naomba kwa niaba ya watanzania wote atusamehe ili zikitokea tuzo zingine tupate sapoti yake.
Huyo wema wko ananyota ya kupendwa na wacheza vigodoro angekua na ushawishi wimbo wa wanjera ungepata tuzo MTV vigodoro
 
Kwa akili hizi tanzania ya viwanda ni ndoto.Maana hii nchi ina machi.zi lukuki.
 
Nawashangaa watu wengi mnaongelea tafiti inayosema kichaa mmoja kati ya watu wa nne badala ya kujadili post ya muhimu iliyopo.
 
Ila hii nchi imetoka mbali sana! Kwahyo Wena ndo alikuwa anaamua nani achukue tuzo😂
 
Mengi yameongelewa kuhusu kukosa tuzo za MTV kwa wasanii wote waliokuwa nominated toka hapa nchini kwetu... teams zimetupiwa lawama za kutosha.... wasanii wametupiwa lawama pamoja na wadau wengine.

Kilichonishangaza ni watanzania wote kusahau uwepo na umuhimu wa Madame Wema kwenye suala la msanii kuchukua tuzo. Ndugu Lemutuz ambaye anaaminika kama miongoni mwa watu wachache hapa nchini walio na FACTS alishawahi tamka kwamba Wema ndo mtanzania mwenye nyota ya kipekee.

Kila linalohusishwa nae hugeuka lulu. Ila nachukua nafasi hii kumtupia lawama kwa kutofanya uamuzi wa kuteua msanii wa kuchukua tuzo. Nina uhakika endapo madam angeelekeza nguvu angalau kwa msanii mmoja lazima tuzo ingepatikana. Kama kuna kitu tulimkwaza naomba kwa niaba ya watanzania wote atusamehe ili zikitokea tuzo zingine tupate sapoti yake.
Lemutuz mtu mwenye fact. Hii ilikuwa moja ya kituko kwenye awamu ya tano. Nae ni kiwanda
 
Leo kaambiwa hana gari analia
Moja ya wonders za dunia hii tuliyomo, kilio kimekuwa kikubwa na 'mashabiki' zake wamelalamika mno mpaka wengine wakafikia kudai huyo muhusika aliyesema kwamba Wema hana gari ashitakiwe.
 
Back
Top Bottom