MTV MAMA: Namtupia lawama Madame Wema

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,205
22,252
Mengi yameongelewa kuhusu kukosa tuzo za MTV kwa wasanii wote waliokuwa nominated toka hapa nchini kwetu... teams zimetupiwa lawama za kutosha.... wasanii wametupiwa lawama pamoja na wadau wengine.

Kilichonishangaza ni watanzania wote kusahau uwepo na umuhimu wa Madame Wema kwenye suala la msanii kuchukua tuzo. Ndugu Lemutuz ambaye anaaminika kama miongoni mwa watu wachache hapa nchini walio na FACTS alishawahi tamka kwamba Wema ndo mtanzania mwenye nyota ya kipekee.

Kila linalohusishwa nae hugeuka lulu. Ila nachukua nafasi hii kumtupia lawama kwa kutofanya uamuzi wa kuteua msanii wa kuchukua tuzo. Nina uhakika endapo madam angeelekeza nguvu angalau kwa msanii mmoja lazima tuzo ingepatikana. Kama kuna kitu tulimkwaza naomba kwa niaba ya watanzania wote atusamehe ili zikitokea tuzo zingine tupate sapoti yake.
 
Ile Ratio hapa ndio mahali pake (yaani four people one crazy)
 
Mengi yameongelewa kuhusu kukosa tuzo za MTV kwa wasanii wote waliokuwa nominated toka hapa nchini kwetu... teams zimetupiwa lawama za kutosha.... wasanii wametupiwa lawama pamoja na wadau wengine. Kilichonishangaza ni watanzania wote kusahau uwepo na umuhimu wa Madame Wema kwenye suala la msanii kuchukua tuzo. Ndugu Lemutuz ambaye anaaminika kama watu wachache hapa nchini walio na FACTS alishawahi tamka kwamba Wema ndo mtanzania mwenye nyota ya kipekee. Kila linalohusishwa nae hugeuka lulu. Ila nachukua nafasi hii kumtupia lawama kwa kutofanya uamuzi wa kuteua msanii wa kuchukua tuzo. Nina uhakika endapo madam angeelekeza nguvu angalau kwa msanii mmoja lazima tuzo ingepatikana. Kama kuna kitu tulimkwaza naomba kwa niaba ya watanzania wote atusamehe ili zikitokea tuzo zingine tupate sapoti yake.
hawa ndo tutakaowatumia kwenye tanzania ya viwanda...duh kweli twaweza walipatia
 
4:1
 
Back
Top Bottom