Mtuhumiwa wa EPA (Maregesi) yupo hoi Hospitalini

Oloronyo

Member
Mar 29, 2009
80
9
Habari kutoka katika chanzo cha UHAKIKA zinadokeza kuwa yule kigogo maarufu katika kesi ya EPA yupo katika COMA kwenye hospitali maarufu jijini mwenye habari zaidi uwanja ni wako!
 
Habari kutoka katika chanzo cha UHAKIKA zinadokeza kuwa yule kigogo maarufu katika kesi ya EPA yupo katika COMA kwenye hospitali maarufu jijini mwenye habari zaidi uwanja ni wako!

Unasema .. chanzo cha UHAKIKA. Sasa unataka habari gani zaidi. nadhani wewe ndie utupe hizo details .... tungependa tuelewe kwa undani kuhusu kinachomsibu, amelazwa tangia lini, hospitali gani nk. Habari unaonekana unazo . tujuze basi... hata hicho chanzo chako unaweza ukatueleza pia, eg kwa kusema umeambiwa na mmoja wa ndugu zake, au mfanyakazi wake etc. Usiandike kama waandishi wa magazeti ya umbea.
 
So they finally got him! Mafisadi hatari.
Mkuu sijakusoma..ina maana wamempata ili asi-spill ze beans au?

Mkuu Abdulhalim lazima uelewe kwamba kwenye ile orodha ya mafisadi iliyotajwa Mwembeyanga watu kama Maregesi, Jeetu Patel, Liyumba n.k hawakuwapo kwa sababu hawa wote walitumiwa tu. Mafisadi hasa hakuna mwenye uwezo wa kuwakamata ndani ya awamu hii na ndiyo maana mimi namwona Mabere Marando kama mzalendo hasa. Kwa kuwatetea hawa waliotumiwa tu kuchota fedha, ushahidi mwingi umeweza kupatikana ambao ipo siku utatumiwa kuwashughulikia vinara wa EPA, Kagoda, Meremeta n.k.

Makamba alipomtuhumu Mabere kwa kuwatetea mafisadi, Mabere alimnyamazisha kwa kumwomba ataje ni fisadi gani kwenye ile orodha ya Mwembeyanga anamtetea. Hapo ilibidi Makamba anyamaze kwani kinara wa mafisadi wale ndio hivi sasa ni mgombea Uraisi kwa tiketi ya CCM na pesa za EPA ndizo zilizomwingiza madarakani mwaka 2005. Msione mtu anapigana kufa na kupona kubaki madarakani, ndio salama yake, familia yake na mafisadi wenzake ndani ya CCM.

Hivyo njia moja tu ya kulitatua fumbo la mafisadi wanaolifilisi taifa ni kwa kuipumzisha CCM ambacho ndicho hasa kichaka wanakopata hifadhi hawa manyang'au. Kwa wakati huu wanachoweza kufanya ni kuwaziba mdomo wale wote ambao walitumiwa tu kufanikisha wizi hata ikibidi kutoa roho zao. Kwa watu kama akina Patel na Somaiya hawana wasi wasi nao kwani hawana uzalendo na wana pa kukimbilia mambo yakiharibika - wahindi bwana, we acha tu !

Tumwunge mkono Dr. Slaa tuutokomeze ufisadi na tuweze kuwawajibisha wezi wetu.
 
Du Mag 3 amepomonda kweli. Na ukweli ni kuwa hakuna zaidi ya ukweli aliosema. CCM ikirudi madarakani mchezo utakuwa ule ule hakuna maendeleo hakuna vita dhidi ya ufisadi.
 
Nimekutana na Beredy mara tatu hapa India akifuatilia matibabu ya kuondoa sumu mwilini; alipewa sumu na mafiaso wa Rostam Azizi ili kuzuia siri ya Kagoda isiweze kuthibitishwa mahakamani, muda wote baadaye. Tumekutana tena mwanzoni mwa Septemba hapa Dar es salaam; aliniambia kuwa hali yake haikuwa nzuri, na hata kwa kumwangalia alionyesha kuchoka, licha ya ujana na mapesa aliyonayo. Hivyo, habari kwamba kwa sasa Beredy amelazwa na yuko mahututi hospitalini siwezi kuzipuuza.
Mafiaso wanataka kukata mzizi wa fitina. Na nikichukua analogy hii, nitashangaa iwapo Rashid Shamte aliyetumika kusambaza sms za kuchafua hali ya usalama na amani nchini, ataishi muda mrefu mara baada ya uchaguzi. Na hili ni somo kwa mnaokubali kutumiwa na mafisadi/mafiaso waliojichimbia mizizi nadani ya dola.
 
umenena kweli mtu usikubali kutumiwa maana mwisho wake huwa mauti
 
hivi watu kama akina Esther mary komu, ambaye anatuhumiwa kama fisadi wa epa kwa kuwa alikuwa mkuu wa kitengo cha madeni cha benk kuu na ambaye leo anafanya biashara ya kuuza cement kule goba kwa mtaji wa mifuko 50 naye ni fisasdi asitetewe na marando? kikwete una dhambi sana, sala za hawa uliowatoa kafara kulinda mabwana zako hazitakuweka salama. Mungu ameskia kilio cha0 sasa huna pa kukimbilia, tazama siku zako wewe na mafisadi wako zinahesabika, hakuna mahali popote duniani ufisadi uweza kudumu na kuwa salama kwa wauaminio, tazama miisho ya mobuto, bokasa nk
 
Mungu akurudishie uhai mageresi

huyu ndie anajua takataka zote walizotumia kuhamishia zile pesa ,,mungu akupe uhai uturudishie hata nusu
na kama utatukimbia basi waandikie hata ndugu zako tusichukue wapi
 
Habari kutoka katika chanzo cha UHAKIKA zinadokeza kuwa yule kigogo maarufu katika kesi ya EPA yupo katika COMA kwenye hospitali maarufu jijini mwenye habari zaidi uwanja ni wako!

yeye sio wa kwanza kuwa kwenye koma.mungu atamweka hadi amalize aliyoyaanza hapa ulimwenguni...
 
yeye sio wa kwanza kuwa kwenye koma.mungu atamweka hadi amalize aliyoyaanza hapa ulimwenguni...

yapi hayo aliyoyaanza? mimi nimefahamu existence ya huyu ndugu through kashfa za ufisadi. Na through ufisadi wake yeye na rafiki zake watoto na wamama wengi wajawazito wanakufa kila dakika nchii hii kwa kukosa huduma. sasa sijui unamaanisha mema au mabaya aliyo shiriki kuyaasisi au la?
 
I will not be supprised if it happens to be true kwani hata Balali ilikyuwa hivyo. Kama ni kweli Mungu amsaidie apone na afanye maungamo hadharani .
 
Angekuwa ni mchaga tusingekubali afe mpaka alipe pesa zetu ila hayo ndo matunda ya kushiriki udhalimu.hata huruma sikuonei.to hell mana ukiua kwa mkuki na we subiri zamu yako.
 
Nimekutana na Beredy mara tatu hapa India akifuatilia matibabu ya kuondoa sumu mwilini; alipewa sumu na mafiaso wa Rostam Azizi ili kuzuia siri ya Kagoda isiweze kuthibitishwa mahakamani, muda wote baadaye. Tumekutana tena mwanzoni mwa Septemba hapa Dar es salaam; aliniambia kuwa hali yake haikuwa nzuri, na hata kwa kumwangalia alionyesha kuchoka, licha ya ujana na mapesa aliyonayo. Hivyo, habari kwamba kwa sasa Beredy amelazwa na yuko mahututi hospitalini siwezi kuzipuuza.
Mafiaso wanataka kukata mzizi wa fitina. Na nikichukua analogy hii, nitashangaa iwapo Rashid Shamte aliyetumika kusambaza sms za kuchafua hali ya usalama na amani nchini, ataishi muda mrefu mara baada ya uchaguzi. Na hili ni somo kwa mnaokubali kutumiwa na mafisadi/mafiaso waliojichimbia mizizi nadani ya dola.

Naanza kuunganisha dots za kifo cha Mama Salome Mbatia...

Back
Top Bottom