Mtuhumiwa wa EPA (Maregesi) yupo hoi Hospitalini

I will not be supprised if it happens to be true kwani hata Balali ilikyuwa hivyo. Kama ni kweli Mungu amsaidie apone na afanye maungamo hadharani .

alafu kama mnakumbuka akatishia kipindi kile cha mahakamani wakimsumbua atatoa yoteeeee
weeeeeeeeee nani akupe nafasi ya kutoa hata nusu ..amuulize mh balali uko aliko kama kweli amekufa
 
Back
Top Bottom