ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 931
Kwa taaluma yake kama Mwanasheria Mahiri, hakusoma alama za nyakati, alitumia muda mwingi , wadhifa wake na mamlaka ya Dola kuwashuhulikia wenzie, ahajua nini kitatokea kwake ( Mzee Mengi nanamfahamu vizuri, Mhe. Mbubge wa sasa wa Nyamagana nae anamfahamu, baadhi ya CCM waliohusika katika kura za maoni wanamfahamu sana tu jinsi alivyowarusha posho zao, na aliyekuwa Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Jerry Muro anayajua haya Jerry Muro asema Lawrence Masha alimtishia - Wavuti )!!!.
Aliwahi kuyasema haya kwa Mbwembwe:
Nyamagana MP Lawrence Masha speaks (MichuziBlog) - YouTube