Uchaguzi 2020 Mtu ambaye Wanadamu hawakutaka aishi, lakini leo hii Mtu huyu anakwenda kuwa Mgombea wa Urais. Jambo hili lina maana gani?

Kumuadhibu kwa kumponya kwenye risasi 16 ndugu??? Usiwe kama Yehodaya ndugu yangu, nakusifiaga sana humu.

Nimesema huo ni uwezekano pia, hakuna mtu anayejua kwa nini Mungu anafanya anavyofanya, isitoshe maisha ya mtu ni siri ya mtu na Mungu, wote hatujui kwa nini kilimpata kilichompata, inawezekana akawa hana hatia na kwamba wabaya walitaka tu kumdhuru bila ya sababu ambapo ni mara chache sana hilo hutokea kwamba imetokea tu akawa victim of circumstances na inawezekana pia ana hatia na waliomdhuru walitaka to get even, hakuna anayejua isipokuwa yeye mwenyewe, usiamini Binadamu usiyemjua kwa 100% kirahisi namna hiyo, siku ukija kuujua ukweli inaweza kukufanya ukapoteza imani na humanity, hivyo siku zote kama jambo haulijui undani wake usiamini kwa 100%, ...
 
Nimesema huo ni uwezekano pia, hakuna mtu anayejua kwa nini Mungu anafanya anavyofanya, isitoshe maisha ya mtu ni siri ya mtu na Mungu, wote hatujui kwa nini kilimpata kilichompata, inawezekana akawa hana hatia na kwamba wabaya walitaka kumdhuru bila ya sababu ambapo ni mara chache sana hilo hutokea kwamba imetokea tu akawa victim of circumstances na inawezekana pia ana hatia na waliomdhuru walitaka to get even, hakuna anayejua isipokuwa yeye mwenyewe, usiamini Binadamu usiyemjua kwa 100% kirahisi namna hiyo, siku ukija kuujua ukweli inaweza kukufanya ukapoteza imani na humanity, hivyo siku zote kama jamabo haulijui undani wake usiamini kwa 100%, ...
Barbarosa. Unataka kusema hujui aliyepanga na kufanya shambulio la Lissu????? Aahaaa samahani ndugu.

Hivi mnafikiri watanzania ni wajinga kiasi icho???? Hapana kwa kweli!!!
 
@Salary Slip mie sitashangaa kama ghafla mgombea toka chama kubwa akatangaza kuwa ameamua hata gombea kwa matatizo ya afya ili chama kiteue mwingine.
Mambo ni magumu sana hasa kwa hii slogan ya Mbowe "SASA BASI"
Chakaza, hata mimi hiyo slogan ya "sasa basi" kwa kweli nimeipenda...liwalo na liwe, mtoto anazaliwa, anaenda chekechea, shule ya msingi, secondary, kidato tano, JKT, chuo kikuu, anaoa, anapata mtoto wa kwanza, mtoto huyo naye anaanza chekechea , bado baba /babu kijana a.k.a babu mzee anataka tu kuongoza familia pia ya mjukuu wake... hivi anataka hadi aende kaburini futi sita ndio iwe mwisho wake? si atoke tu kwa staha kama muanzilishi wao Kambarage alivyong'atuka kwa heshima ... Fedheha ya nini kugombana na vijana wa 1980?
 
Hili ndio swali ambalo kila mtu mwenye kufikiri na kuwaza kwa mapana anapaswa kujiuliza.

Yaani wanadamu wanapanga kukua, na sio kupanga kukuua tu,bali inadaiwa walipanga hata msiba huo na mazishi yake yaweje, lakini Mungu akaingilia kati na kumuokoa muhusika, na leo hii mtu huyo anakuwa mgombea wa uraisi!!Je,ni hivi hivi tu au kuna kusudio la Mungu nyuma yake?

Tuache muda utajibu, ingawa wengi ni wagumu kusadiki kama walivyokuwa wagumu kusadiki kwamba angerejea nchini.

Wanadamu ndio mjue kuna mwenye mamlaka kuwazidi, na anaendelea kuwaonyesha kuwa yeye ni alpha na omega.
Mambo kama hayo yalimtokea Yesu Kristo, walimuua wakidhani wamemaliza kazi kumbe ndio wamemfanya kuwa mkuu wa wakuu. Mzaburi akasema, "Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni"-Zab 118:22. Lissu anakwenda kuwa jiwe kuu la pembeni, ni suala la muda tu.
 
Mwenyezi Mungu ni mwema Mkuu. Itakuwa ni raha iliyoje hapo October 28 anatangazwa rasmi kama Rais Mteule. Itakuwa ni habari kubwa sana si Tanzania tu, si Afrika ya Mashariki na Kati tu, si Bara la Afrika tu bali dunia nzima.

Hili ndio swali ambalo kila mtu mwenye kufikiri na kuwaza kwa mapana anapaswa kujiuliza.

Yaani wanadamu wanapanga kukua, na sio kupanga kukuua tu,bali inadaiwa walipanga hata msiba huo na mazishi yake yaweje, lakini Mungu akaingilia kati na kumuokoa muhusika, na leo hii mtu huyo anakuwa mgombea wa uraisi!!Je,ni hivi hivi tu au kuna kusudio la Mungu nyuma yake?

Tuache muda utajibu, ingawa wengi ni wagumu kusadiki kama walivyokuwa wagumu kusadiki kwamba angerejea nchini.

Wanadamu ndio mjue kuna mwenye mamlaka kuwazidi, na anaendelea kuwaonyesha kuwa yeye ni alpha na omega.
 
Ameenda kuketi kwenye mkono wa mungu baba mwenye enzi yote. Hapo ndio nashindwa kuelewa sasa huyu yesu yeye alikuwa nani ina maana kabla hajafa kulikuwa na mungu mwingine au?
jiwe walilolikataa waashi linaelekea kuwa jiwe kuu la pembeni...
Lakini Tukumbuke waashi wa Jamuhuri wana Nguvu Sana..🤐
 
Barbarosa. Unataka kusema hujui aliyepanga na kufanya shambulio la Lissu????? Aahaaa samahani ndugu.

Hivi mnafikiri watanzania ni wajinga kiasi icho???? Hapana kwa kweli!!!

Mimi sijui kwa maana Tundu Lisu simjui, na sijui jinsi alivyoishi maisha yake, njia alizopita, mambo anayofanya, aina ya watu anaoishi na kudili nao kila siku siwajui, hivyo kwangu mimi kila kitu kinawezekana, kama nilivyosema anaweza akawa tu ni victim of circumstance lkn ni mara chache sana hilo kutokea katika hali kama hiyo, ...
 
@Salary Slip mie sitashangaa kama ghafla mgombea toka chama kubwa akatangaza kuwa ameamua hata gombea kwa matatizo ya afya ili chama kiteue mwingine.
Mambo ni magumu sana hasa kwa hii slogan ya Mbowe "SASA BASI"
Huko aliko sijui ana hali gani.Kuanzia sasa mtarajie kumuona akiwa na hazita muda wote na pia mtarajie hotuba zenye kauli za kushangaza kutoka Kwake.
 
Mimi sijui kwa maana Tundu Lisu simjui, na sijui jinsi alivyoishi maisha yake, njia alizopita mambo anayofanya aina ya watu anaoishi na kudili nao kila siku siwajui, hivyo kwangu mimi kila kitu kinawezekana, ...
Niishie tu kusema kweli itakuweka huru. Wenzako waliopanga yale wanajuta saivi kwa kuwa wana amini ule ujinga walioufanya ndo umemjenga Lissu kisiasa mara 1000. Wanashindwa kurudisha nyuma wakati ila baya ni kuwa hawana la kufanya
 
Mwenyezi Mungu ni mwema Mkuu. Itakuwa ni raha iliyoje hapo October 28 anatangazwa rasmi kama Rais Mteule. Itakuwa ni habari kubwa sana si Tanzania tu, si Afrika ya Mashariki na Kati tu, si Bara la Afrika tu bali dunia nzima.
Na watu mashuhuru duniani wataandika ku-document tukio hilo litaloweza pia kuja kutumika kama reference kwa vizazi vijavyo.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK

@Salary Slip mie sitashangaa kama ghafla mgombea toka chama kubwa akatangaza kuwa ameamua hata gombea kwa matatizo ya afya ili chama kiteue mwingine.
Mambo ni magumu sana hasa kwa hii slogan ya Mbowe "SASA BASI"
 
Niishie tu kusema kweli itakuweka huru. Wenzako waliopanga yale wanajuta saivi kwa kuwa wana amini ule ujinga walioufanya ndo umemjenga Lissu kisiasa mara 1000. Wanashindwa kurudisha nyuma wakati ila baya ni kuwa hawana la kufanya

Ni sawa wewe kuamini unavyotaka kuamini, lkn nimekupa tip tu maisha usiamini 100% kila kitu unachokiona na kuambiwa kwani ni hatari kwa maisha yako siku ukweli ukija kuji-manifest kinyume na ulivyoamini unaweza kuchanganyikiwa, hakuna mtu anayeshambuliwa kwa risasi bila ya sababu, labda kama hakuwa mlengwa na waliofwatua walikuwa wamemlenga mtu mwingine...
 
Back
Top Bottom