Mtoto yatima ameungua vibaya na anaomba msaada

TZ biashara

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
523
107
DSC05990.JPG

Nimeliona hili tangazo katika blog ya Mjengwa kwakweli imenisikitisha sana na hivo nimeona labda niwawekee na wengine wasiojua pengine itasaidia kumpatia msaada.Kwakweli inaonyesha yupo katika maumivu makalisana na tuungane kwa kumsaidia na vilevile tumuombee kwa mwenyezi mungu kumpa uzima na afya inshaallah.Imeandikwa hivi...
Afya ya mtotoJuliana inuka mkazi wa kijiji Cha Mavanga wilaya ya Ludewa mkoani Njombe aliyelazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matibabu zaidi ni mbaya kwa sasa kula wala kunywa anatumia mipira maalum.

Hata hizo inadaiwa kuwa jitihada zinazofanywa na madaktari na wauguzi wa Hospitali hiyo ya Muhimbili kwa mtoto Juliana ni kubwa sana ambazo zinatia moyo kwa wauguzi wa mtoto huyo waliopo hapo.

Hawa ni wadau waliojitokeza kuchangia kwa siku mbli hizi ni pamoja na Frank Mchomvu (Tsh 11,000) na Atuboneksye Massapa (Tsh.20,000)mtandao WA FRANCIS GODWIN unaendelea kuwashukuru wote wanaoendelea kutoa michango yao kunusuru uhai wa mtoto Juliana ambaye ni yatima , Mtandao wa Francis Godwin unaendelea kuwapongeza wote wanaoendelea kuguswa na kuungana na wadau wengine kumchangia fedha za matibabu.

Mtoto Juliana kama anavyoonekana akiwa ameungua uso wake kwa moto ni yatima anahitaji msaada wako ili kunusuru maisha yake waweza kutuma mchango wako kwa njia ya M-PESA katika namba hii 0754 026 299 au Tigo Pesa 0712 750199 namba hizi ni za Bw. Francis Godwin Nawaomba tuungane kufanikisha kuokoa maisha ya mtoto Juliana Mwinuka na Mungu atatuongezea zaidi

Asanteni waungwana
 
View attachment 67278

Nimeliona hili tangazo katika blog ya Mjengwa kwakweli imenisikitisha
sana na hivo nimeona labda niwawekee na wengine wasiojua pengine
itasaidia kumpatia msaada.Kwakweli inaonyesha yupo katika maumivu
makalisana na tuungane kwa kumsaidia na vilevile tumuombee kwa mwenyezi
mungu kumpa uzima na afya inshaallah.Imeandikwa hivi...
Afya ya mtotoJuliana inuka mkazi wa kijiji Cha Mavanga
wilaya ya Ludewa mkoani Njombe aliyelazwa Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili kwa matibabu zaidi ni mbaya kwa sasa kula wala kunywa anatumia
mipira maalum.


Hata hizo inadaiwa kuwa jitihada zinazofanywa na madaktari
na wauguzi wa Hospitali hiyo ya Muhimbili kwa mtoto Juliana ni kubwa
sana ambazo zinatia moyo kwa wauguzi wa mtoto huyo waliopo hapo.


Hawa ni wadau waliojitokeza kuchangia kwa siku mbli hizi ni
pamoja na Frank Mchomvu (Tsh 11,000) na Atuboneksye Massapa
(Tsh.20,000)mtandao WA FRANCIS GODWIN unaendelea kuwashukuru wote
wanaoendelea kutoa michango yao kunusuru uhai wa mtoto Juliana ambaye
ni yatima , Mtandao wa Francis Godwin unaendelea kuwapongeza wote
wanaoendelea kuguswa na kuungana na wadau wengine kumchangia fedha za
matibabu.


Mtoto Juliana kama anavyoonekana akiwa ameungua uso wake
kwa moto ni yatima anahitaji msaada wako ili kunusuru maisha yake waweza
kutuma mchango wako kwa njia ya M-PESA katika namba hii 0754 026 299 au
Tigo Pesa 0712 750199 namba hizi ni za Bw. Francis Godwin Nawaomba
tuungane kufanikisha kuokoa maisha ya mtoto Juliana Mwinuka na Mungu
atatuongezea zaidi

Asanteni waungwana

Pole sana binti Mungu atakusaidia hata me nakuombea.
 
Back
Top Bottom