Mtoto wa Wassira ajiunga Chadema

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Katika watu wanaikashifu Chadema na kuwa na maneno ya maudhi ni Waziri Wassira. Sasa kwa kuonyesha kuwa M4C haina msamaha hata kwa familia yake mtoto wake aishie USA aitwae Makongoro Wassira amejiunga na M4C.

Akizungumza wakati anakabidhiwa kadi alisema yeye ni wa kwanza tu kujiunga M4C lakini ndugu zake wote wapo mbioni kujiunga na anadhani baba yake pekee ndie atabaki CCM.

Peopleeeeeeeeeeeeeeee power.

IMG_1641.JPG

Viongozi wa Tawi la Chadema Houston wamkabidhi Kadi ya Chadema Makongoro Wassira
Angalia picha hapa CHADEMA USA
 
Mhhhh! Yangu macho. Siasa waachie wanasiasa si wengine ni watazamaji tu yanayoendelea kwenye siasa!
 
May be huyo ndo katumwaa kuja kukakamilisha kale ka mradi ka kuisambaratisha CDM before mwaka kuisha.
 
Historia inatuambia kuwa Wassira aliwahi kujinga na chama cha upinzani (NCCR MAGEUZI).Pengine siku za mwisho za CCM zikikaribia anaweza kuwa mwanachama wa CHADEMA.
 
Hakuna atakayesalimika na M4C hakuna haja kuwa na wac CDM ipo makini akileta za kuleta atashtukiwa na kupigwa chini kama mzoga...
 
Jamani wanamageuzi wenzangu msimhukumu Makongoro Wassira, baba yake tulikuwa naye upinzani njaa yake ndio ilimrudisha magambani. Leo hii njaa ikimrudia huyu mzee atatafuta mahali pa kwenda kuganga njaa tena, hiyo ndio sera ya magambazzz.Makongoro Wassira tunakukaribisha ktk tawi letu, uanze kama kada wa CDM, usitafute madaraka ya haraka haraka tutakupiga chini fasta.
 
Historia inatuambia kuwa Wassira aliwahi kujinga na chama cha upinzani (NCCR MAGEUZI).Pengine siku za mwisho za CCM zikikaribia anaweza kuwa mwanachama wa CHADEMA.
Inawezekana ni oppotunist anaelekeza watoto huko ili Chadema ikishinda atakuwa na mahali pa kujificha
 
Historia inatuambia kuwa Wassira aliwahi kujinga na chama cha upinzani (NCCR MAGEUZI).Pengine siku za mwisho za CCM zikikaribia anaweza kuwa mwanachama wa CHADEMA.

Si kujiunga tu, alikuwa mbunge kupitia NCCR Mageuzi, alimbwaga mzee wa tume ya katiba Warioba aliyegombea kupitia CCM
 
Careful, anaweza akawa pandikizi!

Au amesoma upepo akajua ili jina lao libaki lazima aingie kwenye chama chenye future!
 
Back
Top Bottom