Mtoto wa Wassira ajiunga Chadema

Niliwahi kusikia pia Steven Wassira alikuwa ni miongoni mwa waasisi wa Chadema, wengine ni Bob Makani, Edwin Mtei, Freeman Mbowe nk.

Mwenye kumbukumbu za uhakika anaweza kunisahihisha kama nipo wrong.
 
Atakuwa anafuata nyayo za baba yake kuhama hama vyama na mwisho wa yote atarudi kwa magamba
 
Kwa jinsi Wasira anavyochukia upinzani sidhani kama hakuna mchezo mchafu unaotaka kuchezwa hapo. Kumbuka hata baba yake aliwahi kutumika kama mamluki ili akavuruge upinzani
 
Usikute katumwa.....hhahaaha

I dought... Labda si mwanae, WASSIRA ANA KIJANA ANA SURA NZURI HIVI, hiyo Evolution imetake place very quick hivyo, may be mjukuu.... ahaaahaaa Zinjanthropus.....!!! Ka kweli atanyimwa fedha za matumizi atarudi bongo....
 
Enyi wenzetu Wana-CHADEMA wa tawi la Texas nchini Marekani, sote hapa tunafurahia sana moto wenu mkubwa wa mabadiliko inavyochacharika hadi hivi sasa.

Hakika juhudi zenu hivi sasa tunazilinganisha na zile za wenzetu wengine wa kule kwenye matawi letu yetu ya Washingto DC na ile ya Uingereza. Kote huko tunawaona watu mlivyo serious na juhudi za mabadiliko hadharani kweupe bila kificho mpaka raha.

Katika matawi yetu yote hayo huko Ughaibuni wenzetu tunachokiona kwenu ni mashina ya chama yaliosheheni watu mliopevuka akili, uzoefu na demokrasia katika uhalisia wake na ni mahala ambako kila Kamanda katika kambi hizo waonekana kuhaha uwanja mzima kama Drogba katika harakati za kutafuta kusimika utawala mpya hapa nchini mwetu.

Na sasa pongezi za pekee ziwaendee Makamanda wapya Makongoro Wasira Junior, na Neema Kambona kwa kutoa mfano wa mwelekeo mpya kwa vijana kote nchini. Karibuni sana tukapiganie mabadiliko sote kwa pamoja tutashinda ufisadi na mauaji ya raia inayotekelezwa na CCM hivi sasa.


IMG_1642.JPG
 
Kwahiyo huyo kijana credential pekee anayoweza kujivunia na ambayo chadema imeiona asset ni utoto wa Wassira!!!
 
Chadema tuwe makini si kila kingaacho ni dhahabu,tunateswa na shibuda,zzk hatujakoma tu? Tusishabikie kila kitu jemeni
 

Na sasa pongezi za pekee ziwaendee Makamanda wapya Makongoro Wasira Junior, na Neema Kambona kwa kutoa mfano wa mwelekeo mpya kwa vijana kote nchini. Karibuni sana tukapiganie mabadiliko sote kwa pamoja tutashinda ufisadi na mauaji ya raia inayotekelezwa na CCM hivi sasa.

Huyo Makongoro na Neema wana nini special mpaka unawapa pongezi za pekee? Je wao ni bora kuliko wengine waliojiunga? Je, hawa wakigombea uongozi hawatabebwa na huo uspecial mnaowapa?
Je, haya ndio mabadiliko mnayohubiri?
 
Katika zama hizi inahitaji akili ya maiti kuweza kuitetea CCM, otherwise labda uwe Mzee!!
 
Makongoro nyerere amewahi kuwa mbunge wa arusha mjini kupitia nccr mageuzi lakini leo hii ni mwenyekiti wa ccm mkoa wa mara na ni mbunge wa afrika mashariki kupitia ccm
 
Niliwahi kusikia pia Steven Wassira alikuwa ni miongoni mwa waasisi wa Chadema, wengine ni Bob Makani, Edwin Mtei, Freeman Mbowe nk.Mwenye kumbukumbu za uhakika anaweza kunisahihisha kama nipo wrong.
uko sawa mkuu ana kadi namba 5, na bado hajarudisha,
 
ZeMarcopolo mkuu nimekugongea LIKE hapo juu kutokana na sababu moja tu; umeonyesha kuwa ni CRITICAL THINKER mwenye uthubutu wa kuhoji mambo.

Ni kutokana na sifa hiyo hiyo ndio maana Mkuu Ritz aka Ritz1 pamoja na Mkuu Pasco wato wamekua wakidaka sana tu ma-LIKES zangu ingawaje naelewa fika kwamba wote GAMBA GUMU SANA lakini katika makundi hasimu tofauti mle mle ndani ya CCM hii inayomfia Mkuu wa Kaya miguuni hivi sasa.


Huyo Makongoro na Neema wana nini special mpaka unawapa pongezi za pekee? Je wao ni bora kuliko wengine waliojiunga?

Je, hawa wakigombea uongozi hawatabebwa na huo uspecial mnaowapa?
Je, haya ndio mabadiliko mnayohubiri?
 
tutaweza kutoka hapa tukiacha mambo ya 'Mtoto wa fulani' ...unless they're under 18.
 
Katika watu wanaikashifu Chadema na kuwa na maneno ya maudhi ni Waziri Wassira. Sasa kwa kuonyesha kuwa M4C haina msamaha hata kwa familia yake mtoto wake aishie USA aitwae Makongoro Wassira amejinga na M4C. Akizungumza wakati anakabidhiwa kadi alisema yeye ni wa kwanza tu kujiunga M4C lakini ndugu zake wote wapo mbioni kujiunga na anadhani baba yake pekee ndie atabaki CCM. Peopleeeeeeeeeeeeeeee power.

IMG_1641.JPG

Viongozi wa Tawi la Chadema Houston wamkabidhi Kadi ya Chadema Makongoro Wassira
Angalia picha hapa CHADEMA USA

Nilikuwa nasubiri kusikia hata baba take typo mbioni kuvua gamba.otherwise good step
 
Back
Top Bottom