mpayukaji
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 940
- 349
Henry Banda mtoto wa rais wa zamani wa Zambia amekimbilia nchini Kenya kukwepa kukamatwa kwa ufisadi uliotokana na matumizi mabaya ya madaraka ya baba yake. Je akina Ridhiwan hili wanalichukuliaje? Wanaowajua wafikishieni habari wajue kuwa mwisho wa mchezo wao si mzuri na upo hata kama hawataishia kama ilivyotokea Irak, Libya au Misri-kuna mwisho mbaya tu. Yana mwisho wayafanyayo hasa kwa umri wao. Mambo yanazidi kubadilika.