mtoto wa mtoto wa mkulima anasoma shule ya 17mil kwa mwaka.

mpenyo

Member
Jan 6, 2011
19
3
Wanandugu nimesikia mtoto wa kiranja mkuu a.k.a mtoto wa mkulima anasoma St.Consta' Arusha,shule ya 17million per year wakati mkulu huyo alisema account yake ina 20million tu.
Naomba kuwakilisha
 
Naomba kuuliza,
Hilo jina 'mtoto wa mkulima' alijipa yeye mwenyewe au alipewa na watu?
 
Hivi package(marupurupu) ya viongozi huwa hayahusishi kusomeshewa idadi fulani ya watoto na serikali?km kama wapo wenye marupurupu hayo basi na huyu bwana atakuwa humo.....by the way 20m si inaongezeka?anaweza kumlipia.
 
Naomba kuuliza,
Hilo jina 'mtoto wa mkulima' alijipa yeye mwenyewe au alipewa na watu?

Jina alijipa

Inawezekana wakati anatoa yale maneno kweli acc zilikua na mil 25, lakini pia acc ikiwa na mil 20 haimaanishi hayo ndo matumizi yako
 
Anasomeshewa watoto wa2 hivyo hivyo vijisenti tuvilipa sisi washinda hoi wakesha gizani
 
Jina la mtoto wa mkulima alipewa na sisi tuache unafiki. Kuwa na miln 20 kwa wakati fulani ajabu cha kuuliza analipwa mshahara kiasi gani? Mbna ameahidi kuchangia UDSM 10mln kila mwaka mpaka mhula wake uishe? Sioni ajabu kumsomesha mwanae hapa nchini hata ikiwa 100mln kuliko kumpeleka ulaya.

Tuachane na hayo yote aliyetoa mada kasema anasikia mimi namjibu aachane na story za vijiweni na zisizokuwa na uhakika maana mwishoni utabaki kuitwa mzushi. Search for true information before chuki zako humu JF
 
kutokea 'mtoto wa mkulima' mpaka kuridhia DOWANS wawashe mitambo unadhani balance ya account yake bado inasoma 20m!!???
 
Ni mtoto wa mkulima asiye mkulima. Hata Lowasa nae ni mtoto wa mkulima. Issue si kuwa mtoto wa mkulima, issue ni kuwa anafanya nini kutukwamua wakulima tulioko huku Pandagisiza Nzogwinaminzi ambao tunapoteza ndugu zetu kwa kukosa aspirini mahospitalini. Kama hawezi kutukwamua sisi tulioko vijijini kwa kusimamia sera makini za uchumi basi utoto wake wa mkulima hauna maana kwetu. Ni heri tupate mtoto wa bepari anayeweza kutukwamua katika majanga yanayotukabili huku bush
 
huyo mkulima jamani mnawezakuta ni kama wale wa marekani wanaoonekana tbc ,alakini kama ukulima wenyewe ndio huu wa power tila,maisha yake,kusomesha mtoto kwenye zile shule ni mambo ingine,hakuna wa mkulima pale,ni mafisadi,magabachori wakwepa kodi,na wafanya biashara wa bidhaa feki za kutoka bara la asia.huyo mzee ni zuga jamani msitegemee jipya kutoka kwake,tuombe MUNGU atunusuru nao,na kwa lema lazima tuiwakilishe,hakuna mkulima hapo mijifisadi hiyo haina lolote.
 
sasa hivi tunamwita stage show wa sharobaro(msanii/mkwere).........................pia ana mtoto mwingine anesoma marekani, mnh ila nahdani government accoungting ndo inafanya kazi hapa,uuuuuuuuuwiiiiiiiiii tumeliiiiwa
 
Ni mtoto wa mkulima asiye mkulima. Hata Lowasa nae ni mtoto wa mkulima. Issue si kuwa mtoto wa mkulima, issue ni kuwa anafanya nini kutukwamua wakulima tulioko huku Pandagisiza Nzogwinaminzi HIKI KIJIJI KINAWEZA TOA DAWA YA UKIMWI JINA TU NOMA
 
mna uhakika na hilo?hv tanzania kuna shule mtoto analipa ada millioni 17 kwa mwaka tena ni primary school embu tunaomba jina la hiyo shule tuijue kwanza
 
:blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah:
 
mtoto wa mkulima! HEBU TUACHE KUTANIUANA BWANA,huyu nae yupo mlemle tu wadau, milion 17 kwake ni kama hela ya kununua maji ya kunywa mara moja tu
 
jamani kuna shule ya msingi ama sekondari ambayo ada yake millioni 17 kwa hapa tanzania?
mtoto wa mkulima! HEBU TUACHE KUTANIUANA BWANA,huyu nae yupo mlemle tu wadau, milion 17 kwake ni kama hela ya kununua maji ya kunywa mara moja tu
 
Jina la mtoto wa mkulima alipewa na sisi tuache unafiki. Kuwa na miln 20 kwa wakati fulani ajabu cha kuuliza analipwa mshahara kiasi gani? Mbna ameahidi kuchangia UDSM 10mln kila mwaka mpaka mhula wake uishe? Sioni ajabu kumsomesha mwanae hapa nchini hata ikiwa 100mln kuliko kumpeleka ulaya.

Tuachane na hayo yote aliyetoa mada kasema anasikia mimi namjibu aachane na story za vijiweni na zisizokuwa na uhakika maana mwishoni utabaki kuitwa mzushi. Search for true information before chuki zako humu JF

...Mbona umekuwa mkali? Jina la 'Mtoto wa Mkulima' alijipa mwenyewe kwenye hotuba yake ya kwanza kabisa alipoteuliwa kuwa Waziri Mkuu baada ya Lowassa Kujiuzulu. Yeye mwenyewe ndio alijinadi kwenye hotuba hiyo kwamba yeye ni 'Mtoto wa Mkulima'. Itafute ile hotuba uisikilize. Hilo la kwamba ana mtoto anasoma shule ya shilingi milioni 17 kwa mwaka, hapa hapa Tanzania. siwezi kulizungumzia.
 
jamani kuna shule ya msingi ama sekondari ambayo ada yake millioni 17 kwa hapa tanzania?

Inwezekana,hebu cheki hizi gharama zao humu http://www.scisarusha.org/fee_structure.htm

FEE SCHEDULE - Per Year w.e.f 2010 - 11 [FONT=arial,helvetica]Full year fee in USD [/FONT][FONT=arial,helvetica]TUTION FEE ONLY [/FONT][FONT=arial,helvetica]USD $[/FONT][FONT=arial,helvetica]BOARDING FEE ONLY [/FONT][FONT=arial,helvetica]USD $ [/FONT][FONT=arial,helvetica]Nursery & Reception [/FONT][FONT=arial,helvetica]1500[/FONT][FONT=arial,helvetica]Reception to Year 5 [/FONT][FONT=arial,helvetica]3480 [/FONT][FONT=arial,helvetica]Year 1 & 2 [/FONT][FONT=arial,helvetica]2190 [/FONT][FONT=arial,helvetica]Year 3 [/FONT][FONT=arial,helvetica]2820[/FONT][FONT=arial,helvetica]Year 4 [/FONT][FONT=arial,helvetica]2910[/FONT][FONT=arial,helvetica]Year 5 [/FONT][FONT=arial,helvetica]3150[/FONT][FONT=arial,helvetica]Year 6 [/FONT][FONT=arial,helvetica]3270[/FONT][FONT=arial,helvetica]Year 6 & 7 [/FONT][FONT=arial,helvetica]3690 [/FONT][FONT=arial,helvetica]Year 7 to Year 9 [/FONT][FONT=arial,helvetica]5220[/FONT][FONT=arial,helvetica]Year 8 to 10 [/FONT][FONT=arial,helvetica]5160[/FONT][FONT=arial,helvetica]IGCSE Year 10 & 11 [/FONT][FONT=arial,helvetica]5820[/FONT][FONT=arial,helvetica]Year 11 Term [/FONT][FONT=arial,helvetica]5460 [/FONT][FONT=arial,helvetica]A - Levels [/FONT][FONT=arial,helvetica]8175[/FONT][FONT=arial,helvetica]A Levels [/FONT][FONT=arial,helvetica]7500[/FONT]
[FONT=arial,helvetica]
[/FONT][FONT=arial,helvetica]Registration Fee - at the time of Registration only (Non Refundable)[/FONT][FONT=arial,helvetica]USD 400 $ per Student [/FONT][FONT=arial,helvetica]Optional Lunch Fee [/FONT][FONT=arial,helvetica]USD 330 $ per year/ per Student ( Three Terms ) [/FONT]

[FONT=arial,helvetica]Refundable Text Book Deposit - A-Level STUDENTS ONLY [/FONT][FONT=arial,helvetica]USD 300$ Secondary School Only [/FONT][FONT=arial,helvetica]Refundable - School Deposit [/FONT][FONT=arial,helvetica]A . Boarding Student - $ 300/- per student [/FONT][FONT=arial,helvetica]B . Day Student - $ 150/- per student [/FONT]
[FONT=arial,helvetica]
[/FONT][FONT=arial,helvetica]BANK DETAIL [/FONT][FONT=arial,helvetica]STANBIC BANK - ARUSHA BRANCH
[FONT=arial,helvetica]HELLENIC SOCIETY OF TANGANYIKA[/FONT]
[FONT=arial,helvetica]ST. CONSTANTINE'S INTERNATIONAL SCHOOL [/FONT]
[FONT=arial,helvetica]A/C NO. - 0240007688301 [/FONT][/FONT][FONT=arial,helvetica]Contact Details [/FONT][FONT=arial,helvetica]Phone Number 2503696
[FONT=arial,helvetica]Fax Number 2508581 [/FONT]
[FONT=arial,helvetica]email address scis@habari.co.tz [/FONT][/FONT]
 
Back
Top Bottom